Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gossip Watch.
Liverpool are reportedly closing in on the transfer of Red Bull Salzburg striker Patson Daka in an exciting potential move.

According to Todo Fichajes, a deal could be announced soon as Liverpool use their good relationship with Salzburg to their advantage to close in on getting the Zambia international into the club.

YNWA
 
NEWS: Ghana U-20 star Fatawu Abdul Issahaku has signed a 5-year deal for Liverpool FC. Fee rumoured to be around £1.5m

Fatawu was minutes away from joining Bayer Leverkusen last week. The 17yo was voted as MVP of last Afcon U20.
 
Rumour Mill.

Barcelona have offered Philippe Coutinho back to Liverpool, it has been claimed.

YNWA
AS wanasema Barca wanafanya hivyo ili ku avoid kutoboka €50M ambazo bado wanadaiwa kutoka kwenye hilo deal la kumnunua Coutinho 2018.

Ubaya ni kuwa sio Liverpool inawadai maana Liverpool ililiuza hilo deni kwa third party kwahiyo Barca anataka kutuuzia Coutinho apate hela ya kulipa deni.
 
Rumour Mill.

Barcelona have offered Philippe Coutinho back to Liverpool, it has been claimed.

YNWA
Reports in Spain say Barcelona have offered Coutinho to Liverpool.

They still owe more than €50 million euros to Liverpool for his transfer and have asked if they could return the Brazilian in exchange for the forgiveness of the remaining debt.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1754]
 
Ishu ndugu ni namna ya FSG wanavyoedesha usajili klabuni. Wao wanataka timu ijiedeshe yenyewe sokoni bila wao kutoa ela wala kudhamini mkopo benki. Huu ufinyo wa kikosi naona bado utaedelea kuwepo kwani mipango yao ni ile ile sell before buying.

Hilo la kupeana mzunguko ndugu mmh kwa huyu Klopp sijui itakua aje maana yeye huwapa hati miliki wachezaji baadhi ya namba kwa mfano tazama Salah, Mane wakipewa sub wakianzia benchi wanavyonuna yaaani. Tazama dogo Tsimikas yaani kaambulia sijui mechi ngapi huku dhahiri tukiona Robertson amechuja haswa msimu huu. Kwa hilo ili lifanikiwa lazima Klopp akumbali lawama kwa manufaa mapana ya timu.

YNWA
Rotation ni nzuri. Rotation inaibua vipaji inapunguza utegemezi.

Neco Williams
Tsimikas
Jones
Shaqiri

Hawa tungewathamini kama wangepewa game time ya kutosha.
Kama tulivyoona kwa Phillips. Ila klopp muoga
 
Rotation ni nzuri. Rotation inaibua vipaji inapunguza utegemezi.

Neco Williams
Tsimikas
Jones
Shaqiri

Hawa tungewathamini kama wangepewa game time ya kutosha.
Kama tulivyoona kwa Phillips. Ila klopp muoga
Mkuu Shaqir get lost most of the times anaibuka na one game wonder. Sio tegemezi hakika hio £12m wachukue chap.

Neco bado kwenye end product. Wote tunajua TAA ni mzuri kwenda mbele lakini kwa defence yupo weak.

Jones he has a future still learning and at his pace anakwenda vizuri.

Tsimikas damn no words maana hajawa tested at the highest level.

Lets hope next season Klopp wont behave as if kuna wachezaji wamelipia hisa hizi namba.

YNWA
 
AS wanasema Barca wanafanya hivyo ili ku avoid kutoboka €50M ambazo bado wanadaiwa kutoka kwenye hilo deal la kumnunua Coutinho 2018.

Ubaya ni kuwa sio Liverpool inawadai maana Liverpool ililiuza hilo deni kwa third party kwahiyo Barca anataka kutuuzia Coutinho apate hela ya kulipa deni.
Haya mambo ya third party Uingereza yalikataliwa tangu ile ishu ya Tevez na Mascherano miaka hiooo kuleta balaa.

Mkuu wewe waonaje kwa £36m tumchukue?..

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums803633169.jpg
 
Tuchukue aje apige kazi.
Tuwe na subira dirisha lenyewe bado bado.

Kwa ATM nina chaguo 3.

Hakan Calhanoglu kutoka Ac Milan ndio chaguo langu kwa sasa kwa ATM. Huyu atakuja bure maana mkataba wake unaisha June hii 2021.

Chaguo la pili Houssem Aouar kutoka Lyon.

Chaguo la tatu ni Fekir 😃😃😃.

Tukikwama kote basi aje C10.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom