Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1][emoji28][emoji28]
Pep Bayern alikuwa na kila silaha lakini kashindwa kutamba Ulaya.

Pep Man City kakabidhiwa funguo ya Benki anunue kila silaha lakini kashindwa kutamba Ulaya.

Kumbe ubora haukuwa wa Pep bali ubora ulikuwa ni wa Barcelona yenyewe.
 
Hivi Tuchel angeweza kufanikiwa bila ya usajili bora uliofanywa na Lampard?

Mendy
Chilwell
Kai
Timo
Werner
Silva
Pulisic
Zyech

Hivyo tuamini kuwa kwenye Soccer hakuna kubahatisha bali usajili mzuri na mbinu nzuri za Kocha ndiyo huleta mafanikio.

Tusingeleta ujinga kwa Timu mbovu kabisa ya Real Madrid basi leohii ni sisi ndiyo tungelikuwa tunacheka.
 
another pancha,,, karibu wodin kanote!

mtu alikua hapati namba RB sisi ndio tunamsajili...... well ngoja tuone
Mkuu au wametazama design kama Luke Shaw alivyokua pancha na sasa amekaa sawa.

Sio bure maana ma dokta hawa hawa ndio walimkataa Fekir na leo wamempa Klopp green light Kanote atue.

Muda utasema.

YNWA
 
Mkuu au wametazama design kama Luke Shaw alivyokua pancha na sasa amekaa sawa.

Sio bure maana ma dokta hawa hawa ndio walimkataa Fekir na leo wamempa Klopp green light Kanote atue.

Muda utasema.

YNWA
Kitu tunapaswa kujifunza ni kwamba mambo na maisha yanabadilika, ukiwa na wachezaji watano au sita kwenye nafasi za ulinzi middle na strikes wenye uwezo mkubwa ni jambo jema maana wanakuwa wanapeana mzunguko hata injury pia zinaweza kupungua au kuisha kabisa, siyo msimu uliopita tulibaki na watatu tu tegemeo na wote wakamuamua kwa wakati mmoja, shida ikaanzia hapo
 
Oyaaa Kuna ambaye ayiogopi Chelsea???
Nani anabisha Tena apa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ni mwanzo tu msimu ujao tunabeba na EPL mazima...

Sasa niwape ushauri, sajilini mapema maana Salah na Mane hawatawapa Tena makombe makubwa na Yale ya mbuzi pia

Laa siivyo mtachezea mzakari mpaka siku ya kiama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Enewei poleni Sana kwa wale mamluki wa Pep a.k.a Liverpool Pep ..nawapa pole huku nacheka hahahaha
 
Pale akili zinapokaa pembeni kupisha mihemko kufanya kazi
 
Pale akili zinapokaa pembeni kupisha mihemko kufanya kazi
Wewe endelea kukaza fuvu muone Kama msimu ujao mtaambulia ..Kama kikosi chenu kisiporepewa basi sioni Kama mtafua dafu msimu ujao. Maana sisi Chelsea ndo tunaenda kuwa tishio zaidi kaa ukijua Hilo.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Kitu tunapaswa kujifunza ni kwamba mambo na maisha yanabadilika, ukiwa na wachezaji watano au sita kwenye nafasi za ulinzi middle na strikes wenye uwezo mkubwa ni jambo jema maana wanakuwa wanapeana mzunguko hata injury pia zinaweza kupungua au kuisha kabisa, siyo msimu uliopita tulibaki na watatu tu tegemeo na wote wakamuamua kwa wakati mmoja, shida ikaanzia hapo
Ishu ndugu ni namna ya FSG wanavyoedesha usajili klabuni. Wao wanataka timu ijiedeshe yenyewe sokoni bila wao kutoa ela wala kudhamini mkopo benki. Huu ufinyo wa kikosi naona bado utaedelea kuwepo kwani mipango yao ni ile ile sell before buying.

Hilo la kupeana mzunguko ndugu mmh kwa huyu Klopp sijui itakua aje maana yeye huwapa hati miliki wachezaji baadhi ya namba kwa mfano tazama Salah, Mane wakipewa sub wakianzia benchi wanavyonuna yaaani. Tazama dogo Tsimikas yaani kaambulia sijui mechi ngapi huku dhahiri tukiona Robertson amechuja haswa msimu huu. Kwa hilo ili lifanikiwa lazima Klopp akumbali lawama kwa manufaa mapana ya timu.

YNWA
 
Gossip Mill.

Liverpool wana mpango wa kumnasa AM Hakan Çalhanoğlu kutoka Ac Milan. Huyu dogo kwa magoli nje ya kumi na nane ndio mwenyewe. Klopp please bring the boy home.

YNWA
 
Screenshot_20210530_203520.jpg

YNWA
 
Gossip Mill

Pedro Goncalves ni MF kutoka Sporting Lisbon ndio mrithi wa Bruno pale Lisbon. Ni ATM.

Ana miaka 22. Ni Mreno. Kawasaidia Lisbon kupata ubingwa wa kwanza baada ya kuukosa kwa miaka 20.

Anafunga na miguu yote miwili. Mguu wa kulia kafunga magoli 11 na mguu wa kushoto kafunga magoli 8. Pia ni bingwa wa ball recovery.

Mkataba wake bado miaka 4 hivyo hapatikani kirahisi. Bei yake huyu si pungufu £70m.

Anacheza vyema namba 10.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom