Huu mkataba huu haujawa wazi wote ni baadhi ya vipengele tu tena vinavyohusu Liverpool kulipwa. Kama jamaa atacheza mechi kadhaa, kama atatwa kombe/makombe n.kAS report that Barcelona still owe ‘several amortisation periods’ to Liverpool regarding the transfer, which basically means that they still owe instalments totalling to a reported €50m.
Duuh hii ngoma hua sielewi. Maana dogo mara akicheza mechi 20 ndio Liverpool watapewa kiasi fulani mara hili duuh.
Muda utasema tuwe na subira.
Kwa miaka 28 bado anachoku offer kama atakua fully fit.
YNWA
Nafikiri kwa ubora wake na free transfer tutapita na huyu Calhanoglu na ubahili wa fsg utashangaa C10 na Calhanoglu ndio wanatua... kisha tunatafuta one ST tunamaliza Transfer.Aouar ni best option hilo upo sahihi ndugu Lyon wanataka less than £50m.
Ishuu kuu hapa tupate strika wa nguvu haya mambo ya false 9 yanatukwamisha. Ndio maana naona Hakan Calhanoglu kwa vile ni bure na pengine hata command mshahara mkubwa ndio anapewa asilimia kubwa kutua.
Fekir msimu huu kapambana sana aisee.
C10 duuh amechuja mno ila kwa Klopp atarudi kwenye form.
YNWA
Yes... hii nilisoma mahali wabaki ox na keita.Nashani eneo letu la midfield lipo very congested.
Fabinho, Thiago, Hendo, Milner, Jones.. Keita, Ox, and the likes of Shaqiri. Nadhani addition moja ya maana tu ndio inatakiwa eneo la midfield.
Inasemekana Klopp ana prefer kuwabakiwa Ox na Keita.
Pellegrini yes he is good nimeuona mara kadhaa hata Muriel wa Atalanta yupo vizuri kwa bei za FSG na mishahara wanayotaka kutoa hawa hatushindwani nao tunawamudu under Genius in business Michael Edward tunapata vizuri hawa.Kwa mfano Roma wana dogo anaita Pellegrini damn huyu ni MF hatari.
Udinese wana dogo anaitwa Rodrigo De Paul ni machini kazi kazi aisee. Huyu ni all round MF.
Atlanta pale kuna dogo Luis Muriel ni jembe anatufaa ni forward.
Fiorentina kuna Dusan Vlahovic ni bonge la Forward.
Yaani sitegemei kuona Liverpool dirisha likifungwo bila ku sort pale mbele mazima maana tumepwaya sana. Mane na Bobby msimu huu wamepotea mazima sina uhakika kam watarejea tena kwenye ule ubora wao wa ku deliver week in week out.
YNWA
Kwa kweli ni kama muujiza aisee.
Tunashukuru.
Big up sana kwa surprise ya msimu uliyoisha hakika mlistahili.
Kudos.
YNWA
NEWS: Ghana U-20 star Fatawu Abdul Issahaku has signed a 5-year deal for Liverpool FC. Fee rumoured to be around £1.5m
Fatawu was minutes away from joining Bayer Leverkusen last week. The 17yo was voted as MVP of last Afcon U20.
Oyaaa Kuna ambaye ayiogopi Chelsea???
Nani anabisha Tena apa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ni mwanzo tu msimu ujao tunabeba na EPL mazima...
Sasa niwape ushauri, sajilini mapema maana Salah na Mane hawatawapa Tena makombe makubwa na Yale ya mbuzi pia
Laa siivyo mtachezea mzakari mpaka siku ya kiama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Enewei poleni Sana kwa wale mamluki wa Pep a.k.a Liverpool Pep ..nawapa pole huku nacheka hahahaha
Nyie KUKU sina shida na nyie
Duh!! huyu Fekir atakuja kujaza hodi ya wagonjwa mkuu.Tuwe na subira dirisha lenyewe bado bado.
Kwa ATM nina chaguo 3.
Hakan Calhanoglu kutoka Ac Milan ndio chaguo langu kwa sasa kwa ATM. Huyu atakuja bure maana mkataba wake unaisha June hii 2021.
Chaguo la pili Houssem Aouar kutoka Lyon.
Chaguo la tatu ni Fekir [emoji2][emoji2][emoji2].
Tukikwama kote basi aje C10.
YNWA
Hivi BOBBY hauzwi ??Mane je??Kwa mfano Roma wana dogo anaita Pellegrini damn huyu ni MF hatari.
Udinese wana dogo anaitwa Rodrigo De Paul ni machini kazi kazi aisee. Huyu ni all round MF.
Atlanta pale kuna dogo Luis Muriel ni jembe anatufaa ni forward.
Fiorentina kuna Dusan Vlahovic ni bonge la Forward.
Yaani sitegemei kuona Liverpool dirisha likifungwo bila ku sort pale mbele mazima maana tumepwaya sana. Mane na Bobby msimu huu wamepotea mazima sina uhakika kam watarejea tena kwenye ule ubora wao wa ku deliver week in week out.
YNWA
Natamani sana nimuone C10 tena akiwa na uzi ya LFC. Maana hata Klopp mwenyewe hatotumia nguvu nyingi kwenye namna ya kumtumia. Kingine upande C10 hata akitokea kwa Mane still ataweza kuoffer kitu. FGS wasilegeze akili wachukue mai hiyo.Nafikiri kwa ubora wake na free transfer tutapita na huyu Calhanoglu na ubahili wa fsg utashangaa C10 na Calhanoglu ndio wanatua... kisha tunatafuta one ST tunamaliza Transfer.
Firmino apewe his natural no. Tumfaidi.
Na taarifa za ndani zinasema MANE SALAH hawauzwi.
Kuna maximum 11 offloads. Nafikiri hii transfer itatufurahisha ni FSG wampe JK mzigo wa kutosha.
Rotation ni nzuri. Rotation inaibua vipaji inapunguza utegemezi.
Neco Williams
Tsimikas
Jones
Shaqiri
Hawa tungewathamini kama wangepewa game time ya kutosha.
Kama tulivyoona kwa Phillips. Ila klopp muoga
Daka isije rudia ya Keita .
Umri wa waafrika Kwa passport wengi forgery..
Halafu kuimudu EPL sio mchezo .
Hapo Bora sterling anaijua EPL ..
Ndugu Captain Justine kwa MF tena attacking ungeshauri tumpate nani.Huu mkataba huu haujawa wazi wote ni baadhi ya vipengele tu tena vinavyohusu Liverpool kulipwa. Kama jamaa atacheza mechi kadhaa, kama atatwa kombe/makombe n.k
Sisi tusubiri tu.
Mkuu kwa hawa FSG usishangae.Hivi BOBBY hauzwi ??Mane je??
Maana wasije wakawaacha halafu ukashangaa wanamuuza Salah.