Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe naona huu uzi wa Liverpool sio wako labda umekosea tafuta uzi wa Gor Mahia, kauwa nini Keita na Origi? Origi ana bahati hata kuitwa mchezaji wa Liver kiwango chake huko Fulham labda Keita yeye kila siku yuko Hospital tu. Mbona hakuuwa kipaji na Wiln, Mane. Gomez na wengine unaweza unacheza huwezi utakalia bench tu. ondoa ujinga wako tafuta team umchukue na origi.
Wewe unaonaje kabisa kipaji cha Keita kimekufa kifo cha mende kwa sababu ya ubaguzi wa rangi. Saiv Mane ameanza kuchoka utaona na kipaji kitakavyopukutika.
 
Wewe unaonaje kabisa kipaji cha Keita kimekufa kifo cha mende kwa sababu ya ubaguzi wa rangi. Saiv Mane ameanza kuchoka utaona na kipaji kitakavyopukutika.
Keita kila siku anaumia anacheza mechi 2 na 5 kaumia hakuna ubaguzi wa rangi ingekuwa ubaguzi wala asingemnunua Klop ndio kamleta pale ni shida fitness yake majeraha yatampoteza hata Oxy majeraha ni shida. Hakuna ubaguzi
 
Adjustments.jpg
 
Leo Liverpool anapambana kumaliza top four!!! Ama kweli dunia inaenda Kasi Sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Mkuu Ollachuga Oc ulisajili vile upambanie nafasi ya nne au uchukue ubingwa EPL huku ukituaminisha Lampard ni kocha bora kabisa...

Tulia ndugu.

YNWA
 
Wewe unaonaje kabisa kipaji cha Keita kimekufa kifo cha mende kwa sababu ya ubaguzi wa rangi. Saiv Mane ameanza kuchoka utaona na kipaji kitakavyopukutika.
Kwa hio Rudiger alikua hapangwi na Lampard kwa sababu ya ubaguzi wa rangi?

Tafuta hoja nyingine ndugu hilo la Keita yeye mwenyewe kashajichokea maana majeraha yanamwadamana mno.

Yupo sokoni leteni ofa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom