Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Nyie ndio mlikuwa mnatafutiwa ushindi maana goli mmepata dakika ya 95 inaelekea ya 96 huko wakati ziliongezwa dakika 4 tu.
Aisee. Wakate rufaa kama hawajaridhika 😂😂😂😂😂😂😂.

Itakua kulikua na time wastage ndio maana refa akaongeza dakika.

YNWA
 
Nyie ndio mlikuwa mnatafutiwa ushindi maana goli mmepata dakika ya 95 inaelekea ya 96 huko wakati ziliongezwa dakika 4 tu.
Corner ilipatikana kabla ya dakika ya nne kufika.
Corner imepigwa dakika ya nne na sek. Ya 17 hiyo dakika ya 5 kwenda ya sita ulikua umekalia tv unaangalia kochi?

Kaangalie mechi ya Liverpool vs Newcastle dakika ziliongezwa ngapi na zikachezeshwa mpaka ngapi na nani aliumizwa nazo?????
 
Tu nachotakiwa sisi kushinda mechi zetu zote 4. Hiyo tarehe 18 lazima mmoja apoteze point 2 Kati ya Leicester na Chelsea maana hakuna matokea yatakayowapa wote points 3. Na uzuri Leicester tuna goal difference nzuri nao so sioni kama ni shida wakifungwa. Though ningependa zaidi wamfunge kabisa Chelsea
Amka wewe bado umelala?
 
Hapana haijalishi hata leicester tutamtoa. sisi tukishinda mechi zote tuna point 69 leicester sababu watakutana na Chelsea lazima mtu atapoteza point bado draw ni bora zaidi. itakuja goal difference only ila mechi ya jana imetupa uhai na nafasi zaidi labda tulivuruge wenyewe tu lakini chance kubwa tushinde game zetu zote hawa wawili wataamua hatma zao.
Amka wewe takataka
 
Klopp pressed on Mane again: "If somebody shows me 5 million times respect and one time not, what's more important? I can see the headlines you're making of it, but that's not the case. If you would have seen me as a player, what I did out of emotion, it was insane!"
Klopp ni Racist ..M'baguzi angalia jinsi alivyoua kipaji Cha Keita na Origi
 
Klopp ni Racist ..M'baguzi angalia jinsi alivyoua kipaji Cha Keita na Origi
Wewe naona huu uzi wa Liverpool sio wako labda umekosea tafuta uzi wa Gor Mahia, kauwa nini Keita na Origi? Origi ana bahati hata kuitwa mchezaji wa Liver kiwango chake huko Fulham labda Keita yeye kila siku yuko Hospital tu. Mbona hakuuwa kipaji na Wiln, Mane. Gomez na wengine unaweza unacheza huwezi utakalia bench tu. ondoa ujinga wako tafuta team umchukue na origi.
 
Points za Newcastle tunazikumbuka kweli lakini Kati ya Chelsea na Leicester mmoja wapo lazima atupishe.
Na usijeshangaa tukamaliza nafasi ya 3 badala ya 4.
Lakuvunda halina ubani msimu ujao Futuhi inakuhusu leo unafungwa ukijitahidi sana unadraw,nifutuhiiii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom