Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Reports in Spain say Barcelona have offered Coutinho to Liverpool.

They still owe more than €50 million euros to Liverpool for his transfer and have asked if they could return the Brazilian in exchange for the forgiveness of the remaining debt.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1754]
Sis mkataba ilikua akicheza ela inaingia sasa tangu ameumia hatujapata ela aisee.

Hilo la £50m ya deni Liverpool walishaliuza kwa 3rd party hivyo hata sisi kumtoa pale Catalan lazima tutoe ela ndugu.

YNWA
 
Tuwe na subira dirisha lenyewe bado bado.

Kwa ATM nina chaguo 3.

Hakan Calhanoglu kutoka Ac Milan ndio chaguo langu kwa sasa kwa ATM. Huyu atakuja bure maana mkataba wake unaisha June hii 2021.

Chaguo la pili Houssem Aouar kutoka Lyon.

Chaguo la tatu ni Fekir 😃😃😃.

Tukikwama kote basi aje C10.

YNWA
Wote wazuri. Mimi aona Aouar ndio the best kati ya hao. Fekir ni fundi pia ila tatizo ni injury prone.

Coutinho akirudi kama prodigal son nadhani atakuwa na cha uchu zaidi wa ku perform na uzuri mazingira anayajua na mwalimu ameshawahi kufanya nae kazi.
 
Reports in Spain say Barcelona have offered Coutinho to Liverpool.

They still owe more than €50 million euros to Liverpool for his transfer and have asked if they could return the Brazilian in exchange for the forgiveness of the remaining debt.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1754]
AS report that Barcelona still owe ‘several amortisation periods’ to Liverpool regarding the transfer, which basically means that they still owe instalments totalling to a reported €50m.

Duuh hii ngoma hua sielewi. Maana dogo mara akicheza mechi 20 ndio Liverpool watapewa kiasi fulani mara hili duuh.

Muda utasema tuwe na subira.

Kwa miaka 28 bado anachoku offer kama atakua fully fit.

YNWA
 
Wote wazuri. Mimi aona Aouar ndio the best kati ya hao. Fekir ni fundi pia ila tatizo ni injury prone.

Coutinho akirudi kama prodigal son nadhani atakuwa na cha uchu zaidi wa ku perform na uzuri mazingira anayajua na mwalimu ameshawahi kufanya nae kazi.
Aouar ni best option hilo upo sahihi ndugu Lyon wanataka less than £50m.

Ishuu kuu hapa tupate strika wa nguvu haya mambo ya false 9 yanatukwamisha. Ndio maana naona Hakan Calhanoglu kwa vile ni bure na pengine hata command mshahara mkubwa ndio anapewa asilimia kubwa kutua.

Fekir msimu huu kapambana sana aisee.

C10 duuh amechuja mno ila kwa Klopp atarudi kwenye form.

YNWA
 
Why tusisajili both Bissouma na Reuben Neves?
Nashani eneo letu la midfield lipo very congested.

Fabinho, Thiago, Hendo, Milner, Jones.. Keita, Ox, and the likes of Shaqiri. Nadhani addition moja ya maana tu ndio inatakiwa eneo la midfield.

Inasemekana Klopp ana prefer kuwabakiwa Ox na Keita.
 
Aouar ni best option hilo upo sahihi ndugu Lyon wanataka less than £50m.

Ishuu kuu hapa tupate strika wa nguvu haya mambo ya false 9 yanatukwamisha. Ndio maana naona Hakan Calhanoglu kwa vile ni bure na pengine hata command mshahara mkubwa ndio anapewa asilimia kubwa kutua.

Fekir msimu huu kapambana sana aisee.

C10 duuh amechuja mno ila kwa Klopp atarudi kwenye form.

YNWA
Hivi Mbappe PSG wako tayari ku part ways kwa kiasi gani? Hana release clause?
 
AS report that Barcelona still owe ‘several amortisation periods’ to Liverpool regarding the transfer, which basically means that they still owe instalments totalling to a reported €50m.

Duuh hii ngoma hua sielewi. Maana dogo mara akicheza mechi 20 ndio Liverpool watapewa kiasi fulani mara hili duuh.

Muda utasema tuwe na subira.

Kwa miaka 28 bado anachoku offer kama atakua fully fit.

YNWA
Hivi hii issue ya kuwa hilo deni Barca anadaiwa na third party sio Liverpool ni kweli au sio kweli?
 
Hivi Mbappe PSG wako tayari ku part ways kwa kiasi gani? Hana release clause?
Rumours saya ni 150 million euros.

PSG wanapambana aongezwe mkataba ili release clause iongezeke kufikia 250 milion Euros.

Kwa sasa mkataba wake unaisha June 2022 hivyo Mbappe hold the power maana akisema haiongezi mkataba basi PSG watalazimika kuuza ili asitembee bure mwakani.

Dogo mshahara ndio ishu anataka angalau £400k kwa week. Hapo tu sioni FSG wakilipa hivyo.

Duh hiyo shida. Alternatives za huyo Mbappe kwenye market kwa affordable price kwa sasa unadhani nani anafaa?
 
Duh hiyo shida. Alternatives za huyo Mbappe kwenye market kwa affordable price kwa sasa unadhani nani anafaa?
Patson Daka kutoka Salzburg ....

Vincious Jnr kutoka Real Madrid.. .

Berroti kutoka Torino.

Sterling kutoka Manchester City 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁..

Lukaku kutoka Inter Milan.

Martinez kutoka Inter Milan.

Sterling mzee hapo watu watakutoa roho. Kajamaa ni ka snake. Lukaku angetufaa ila sioni akiwacheulia Chelsea, Daka simjui huyo Mzambia, Berroti pia simjui. Lautaro Martinez ni machine labda huyo ingekuwa option yangu ya kwanza.
 
Sterling anasema ana unfinished business pale Anfield 😁😁😁aisee.

Daka ndio amekua mridhi wa Halland pale Salzburg na dogo yupo fire mno.

Berroti ndio Captain wa Torino wanashariki Serie A dogo yupo vzuri japo umri umesogea maana ana miaka 28 lakini ni poacher wa nguvu sana yaani.

Serie A kutakua wako hoi kifedha na sana sana Inter Milan kutakua na mnada wa wachezaji dirisha hivyo Klopp asicheze mbali atapata vijana kadhaa.

Klopp apitie Atlanta, Fiorentina, Lazio, Torino,Udinese, Roma kote kuna wachezaji wazuri kwa bei zenye ushirikiano.

YNWA
 
Sterling mzee hapo watu watakutoa roho. Kajamaa ni ka snake. Lukaku angetufaa ila sioni akiwacheulia Chelsea, Daka simjui huyo Mzambia, Berroti pia simjui. Lautaro Martinez ni machine labda huyo ingekuwa option yangu ya kwanza.
Kwa mfano Roma wana dogo anaita Pellegrini damn huyu ni MF hatari.

Udinese wana dogo anaitwa Rodrigo De Paul ni machini kazi kazi aisee. Huyu ni all round MF.

Atlanta pale kuna dogo Luis Muriel ni jembe anatufaa ni forward.

Fiorentina kuna Dusan Vlahovic ni bonge la Forward.

Yaani sitegemei kuona Liverpool dirisha likifungwo bila ku sort pale mbele mazima maana tumepwaya sana. Mane na Bobby msimu huu wamepotea mazima sina uhakika kam watarejea tena kwenye ule ubora wao wa ku deliver week in week out.

YNWA
 
Patson Daka kutoka Salzburg ....

Vincious Jnr kutoka Real Madrid.. .

Berroti kutoka Torino.

Sterling kutoka Manchester City 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁..

Lukaku kutoka Inter Milan.

Martinez kutoka Inter Milan.

YNWA

Daka isije rudia ya Keita .
Umri wa waafrika Kwa passport wengi forgery..
Halafu kuimudu EPL sio mchezo .
Hapo Bora sterling anaijua EPL ..
 
Ni kweli FSG wametumia mfumo wa moneyball kwa ufasaha sana ndio maana kwenye suala la transfers hatuna loss. Jamaa wame employ watu wenye akili sana wakiongozwa na Michael Edwards.
Yaaani hii mi Yankees noma sana.

Hawa majamaa are the luckiest guys alive maana Edwards anawapigia kazi ya faida sana. Dirisha hili kwa kweli wampe sapoti Klopp kwanza kumfuta uchovu wa kutumia akili ya ziada kutuweka nafasi ya 3. Na pia kwa kutuonyesha mashabiki wapo real sorry kwa ESL kukwama. Na kingine muda huu Barcelona na Real wapo hoi ni ngumu kushindana na timu za UK kuwania mchezaji kwa sasa labda huyo mchezaji iwe ni ndoto yake kucheza kule kama Gini, Alaba, Aguero nk

YNWA
 
Daka isije rudia ya Keita .
Umri wa waafrika Kwa passport wengi forgery..
Halafu kuimudu EPL sio mchezo .
Hapo Bora sterling anaijua EPL ..
Keita yupo sokoni tetesi kuna Inter Milan na Ac Milan na Atletico Madrid wanamhitaji 😂😂😂yaaani.

Daka ndugu ni machini yaani huyu kwa umri wa miaka 22 if am not mistaken anatufaa. Ukitazama aisee utaona tuna upungufu wa ma straika hata kutoka academy hivyo huyu aje atakomaa pale pale ndugu maana mikiki ya EPL si mchezo.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom