King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Sasa kama hamsajili itakuaje? Maana goli sasa inabidi lisakwe na Allison
Mkuu kwanini hukai na Chelsea mukamaliza tofauti zenu? Yani umewakaa hawanywi maji siuji wakikosa CL watakimbilia wapi!