Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1st goal. Jota
1620941016863.gif
 
atleast nyie ushindi unawazogeza kwnye nafasi za kucheza ulaya sasa wale migambo yaliyopigwa 8 yanashangilia eti kupata ushindi
 
1.Ni furaha kumpiga nyumbu kwao.
2. Ni furaha kuiona pressing tena.
3. Ni furaha kumfunga nyumba 4.
4. Ni furaha kurudi top kuelekea uefa.

Ni furaha kwa sababu kwa muda hatukuwafunga kwao
Ni furaha kwa sababu walifanya fitina mechi ya kwanza ili
(a) city asibebe ubingwa kwa kufungwa na sisi
(b) leicester aongeze gap ya kutuacha ili tusifuzu CL.
(c) Wao wajiandae kutukamia ama sare au watufungu.

Ile 1st pressing hata pep anaiwaziaga kudeal nayo.

Lets hope for the best.

Pamoja na yote maneno amejishushia heshima kwa kops.
 
Nampenda sana Mane lakini kitendo chake cha kukataa kumpa mkono Klop kimenikera sana badala ya kujingalia yeye anataka kumlaumu kocha hata alivyoingia unaona kabisa impact yake ndogo kocha alikuwa sahihi kabisa kuweka nje. Hii ni team sio Tennis kaweka bench sio kwamba mchezaji mbaya ila form yake kwa muda sasa hayuko vizuri na lion tumeona kabla ya kuingia na baada ya kuingia. Natumaini ataomba msamaha vinginevyo team kubwa kuliko mtu anaweza kuondoka narudia nampenda sana Mane lakini jana kile kitendo kimenikera sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom