Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mane ajirekebishe jana kapewa dakika 90 sababu Jota kaumia lakini hakuna kubwa alilofanya ni wakaji ajiangalie aache kukosa adabu utasema kaonewa lakini ni wazi hayuko vizuri mchango wake mdogo. Na uhakika mchezaji mzuri sana tu ila hayuko katika kiwango kwa sasa na kwa kuwa Jota majeruhi bado mechi mbili aisaidie team kusaka point 6. mechi na Burnley watatupa shida haitakuwa rahisi na mipira yao mirefu ile.
 
Naomba mwenye clip ya goal la Allison anitumie.sijacheki game

1621234124509.gif
 
Mane ajirekebishe jana kapewa dakika 90 sababu Jota kaumia lakini hakuna kubwa alilofanya ni wakaji ajiangalie aache kukosa adabu utasema kaonewa lakini ni wazi hayuko vizuri mchango wake mdogo. Na uhakika mchezaji mzuri sana tu ila hayuko katika kiwango kwa sasa na kwa kuwa Jota majeruhi bado mechi mbili aisaidie team kusaka point 6. mechi na Burnley watatupa shida haitakuwa rahisi na mipira yao mirefu ile.
Huyu tangu apate corona hajawai kua Mane tunaemjua.

Hivi inawezekana hii corona wengine anawapiga kitofauti kabisa maana dogo kapotea kabisa.

YNWA
 
Mane ajirekebishe jana kapewa dakika 90 sababu Jota kaumia lakini hakuna kubwa alilofanya ni wakaji ajiangalie aache kukosa adabu utasema kaonewa lakini ni wazi hayuko vizuri mchango wake mdogo. Na uhakika mchezaji mzuri sana tu ila hayuko katika kiwango kwa sasa na kwa kuwa Jota majeruhi bado mechi mbili aisaidie team kusaka point 6. mechi na Burnley watatupa shida haitakuwa rahisi na mipira yao mirefu ile.
Ni kweli Mane amedrop ukilinganisha na msimu iliyopita.Hata yeye amekiri hilo.Pia kitendo chake cha kukataa kumpa mkono Klopp hakikuwa kizuri na binafsi akiwa kama my lfc favourite player alini dissappoint...

Lakini ukiongelea game ya jana Mane hakuwa chini ya kiwango.Amecheza Sana na amesadia Sana kuipush timu.Kutofunga sio kuwa chini ya kiwango hasa kwa mchezaji wa aina ya Mane ambaye work rate yake anapokuwa sawa(kama jana) inaisaidia timu kupata ushindi.Alitoa assist goli la Salah.Alimpa pasi ya kisigino Firmino,akagogesha nguzo...(Ni Firmino ndo aliyefanya ile isiwe assist)..Na incidents nyingi ambazo alihusika..Hata Pundits wengi ratings zao mechi ya Jana Mane amekuwa rated highly(at least yupo kwenye top 3 ya ratings nyingi)

Hajawa na msimu mzuri?..Yes...
Alikosea kumkatalia mkono Klopp?..Yes..
Anapafom vibaya kila mechi?...No...Mfano mechi ya Jana aliperform vizuri tu.
 
Mimi nampenda hasa Mane wakati mwingine naamini ni bora kuliko Mo hasa katika balance yake akiwa na mpira ila naamini mpira wake ni zaidi ya jana sisi tunataka arudi yule Mane tunayemjuwa ndio labda jana kidogo ile kuiba kwa jamaa ikawa assist ikampa rate ila sitaki kuongelea rate zao za jana nataka nimuhukumu kama mimi Mane lazima arudishe ile game yake siku za nyuma Mane akishika mpira unajuwa tu atafanya lake jambo natumaini mechi mbili hizi muhimu tutamuona yule Mane tunayemjuwa sisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom