King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Liverpool mtazikumbuka point za Newcastle, Leicester atafungwa na Chelsea na game ya mwisho atashinda kwa Spurs, hapo ndio kimbembe cha Europa minapokuja.
Points za Newcastle tunazikumbuka kweli lakini Kati ya Chelsea na Leicester mmoja wapo lazima atupishe.
Na usijeshangaa tukamaliza nafasi ya 3 badala ya 4.