Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kwenye nidhamu nakubaliana na wewe kabisa, Mane kakosea sana tena sana!....

nilikua naweka sawa hapo uliposema et kwakua hayupo form hakustahili kuanza, ndio nikakwambia kuna kipindi Firmino akiwa hovyo kabisa alikua anapangwa daily mbele ya Jota aliyekua form!
Unajuwa kuna wakati labda mtu mazoezini kafanya mambo basi akija katika mechi inakuwa tofauti na pia inategemea unacheza na nani. Mimi naamini kabisa wenzetu wanaweza asikupende lakini ukiwa na uwezo anakupa nafasi haijalishi tofauti zenu. Roy Kaean hakuwa na uhusiano mzuri na na kocha wake enzi hizo lakini hakuwahi kumweka bench. Natumaini Mane ataomba msamaha tu katika hili. Klop nimesikia kasema maamuzi nimefanya jana jioni na vijana wamezoea huwa nawaambia sababu zangu ila sikuwa na nafasi ila sio shida lakini na uhakika nyuma ya pazia atampa makavu team first.
 
Gaffer on Mane hand shake issue.

Klopp played down the incident when questioned after the game, telling Sky Sports: "No, no problem. Yesterday I made a late decision in training to decide for Diogo. The boys are used to me explaining things usually but there was actually no time for that and that's all. It's all fine."

YNWA
 
Sky Sports pundit and former Liverpool manager Graeme Souness said Mane's snub of his manager showed both a disrespect to Klopp and to the club as a whole, and added the player could have no qualms with the Reds' line-up given their four-goal haul at Old Trafford.

He said: "It's disrespectful. It's never happened to me but if I were the manager, I would not be happy. I think he should have shaken his hand, he didn't want to cuddle, but you should show a bit of respect. It's most importantly disrespectful to the football club.

"Yeah, he's not happy at being left out, but can he really argue? He's not had a great season, how can he argue with the fact he's been a sub and Liverpool have won 4-2 at Old Trafford which is not a happy hunting ground for them."

YNWA
 
Hapana haijalishi hata leicester tutamtoa. sisi tukishinda mechi zote tuna point 69 leicester sababu watakutana na Chelsea lazima mtu atapoteza point bado draw ni bora zaidi. itakuja goal difference only ila mechi ya jana imetupa uhai na nafasi zaidi labda tulivuruge wenyewe tu lakini chance kubwa tushinde game zetu zote hawa wawili wataamua hatma zao.
Chamsingi tushinde mechi zetu zote zilobaki, Bila kuwaangalia hao wawili... Maana Lazima mmoja achomoke...
YNWA

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka Salah alikuja kufanya Interview moja tu Matusi aliyomwagiwa huwezi kuamini! Sasa utovu wa Nidhamu alioufanya Mane jana ndiyo naangalia hapa wale waliomtukana Salah je watasema chochote?
Na huu ndo udhaifu wa Klopp anakariri wachezaji mpaka wanajiona wapo juu ya club.
Kwa kutojiamini kwake anaweza mtetea badl ya kumkazia benchi hadi aombe msamaha.

Mbona kina Philps wanakuja vizuri
 
Hellow brothers kitambo kidogo
Mnaonaje utovu wa nidhamu alioufanya Mane dhidi ya kocha wetu?
Kwa kweli haifai kabisa
Captain Marvelous
Mkuu kile kitendo kwa kweli dogo kafeli haijalishi kama Klopp alimuahidi kumuanzisha jana na baadae Klopp akabadili na kumanzisha bench alitakiwa kwanza aone the positive side maana huyo Jota aliechukua nafasi yake jana kafunga goli murwa sana na alikipiga haswa hivyo Mane angetulia kwanza. Yeye mwenyewe kashasema huu ndio msimu wake mmbaya tangu ameanza kucheza professional football hivyo tayari kasha lost atulie asubiri to prove the doubters wrong next season sio kumdharau Klopp tena nyumbani kwa mahasimu wakuu Manchester United .

Watetezi wa Mane wanasema ameonyesha ni fighter anataka apambane uwanjani kuisaidia timu kuingia top 4 na wanasema mentally alikua ready to wear the jersy na apambane kushinda.

Msimu huu wa 2020 2021 amecheza mechi 45 ambazo ni EPL 32,UCL 10,.FA 2 na Community 1.Amefunga magoli jumla goli 14(EPL amefunga goli 9,UCL amefunga goli 3,FA amefunga goli 2)... Ana assit 7. This is poor really poor by any standards.

Klopp kashasema it's all good. Hana muda wa hayo mambo mission yake sasa ni Top 4 finish endapo Chelsea ama Leicester watateleza. All the best Klopp.

YNWA
 
Na huu ndo udhaifu wa Klopp anakariri wachezaji mpaka wanajiona wapo ya club.
Kwa kutojiamini kwake anaweza mtetea badl ya kumkazia benchi hadi aombe msamaha.

Mbona kina Philps wanakuja vizuri

Tayari huko kama alivyofanya kwa Milner
 
Hellow brothers kitambo kidogo
Mnaonaje utovu wa nidhamu alioufanya Mane dhidi ya kocha wetu?
Kwa kweli haifai kabisa
Captain Marvelous
Klopp pressed on Mane again: "If somebody shows me 5 million times respect and one time not, what's more important? I can see the headlines you're making of it, but that's not the case. If you would have seen me as a player, what I did out of emotion, it was insane!"
 
Klopp mwanasiasa

Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app
 
Klopp pressed on Mane again: "If somebody shows me 5 million times respect and one time not, what's more important? I can see the headlines you're making of it, but that's not the case. If you would have seen me as a player, what I did out of emotion, it was insane!"
Klopp anawatetea sana sometime ndo maana mourinho huwa hakawizi
 
Mkuu kile kitendo kwa kweli dogo kafeli haijalishi kama Klopp alimuahidi kumuanzisha jana na baadae Klopp akabadili na kumanzisha bench alitakiwa kwanza aone the positive side maana huyo Jota aliechukua nafasi yake jana kafunga goli murwa sana na alikipiga haswa hivyo Mane angetulia kwanza. Yeye mwenyewe kashasema huu ndio msimu wake mmbaya tangu ameanza kucheza professional football hivyo tayari kasha lost atulie asubiri to prove the doubters wrong next season sio kumdharau Klopp tena nyumbani kwa mahasimu wakuu Manchester United .

Watetezi wa Mane wanasema ameonyesha ni fighter anataka apambane uwanjani kuisaidia timu kuingia top 4 na wanasema mentally alikua ready to wear the jersy na apambane kushinda.

Msimu huu wa 2020 2021 amecheza mechi 45 ambazo ni EPL 32,UCL 10,.FA 2 na Community 1.Amefunga magoli jumla goli 14(EPL amefunga goli 9,UCL amefunga goli 3,FA amefunga goli 2)... Ana assit 7. This is poor really poor by any standards.

Klopp kashasema it's all good. Hana muda wa hayo mambo mission yake sasa ni Top 4 finish endapo Chelsea ama Leicester watateleza. All the best Klopp.

YNWA
Mane ameanza kuwa mzembe kizuri zaidi jota anafanya powa anapopata namba sasa yeye hata kama anazingua anataka aendelee kucheza tu
 
Liverpool mtazikumbuka point za Newcastle, Leicester atafungwa na Chelsea na game ya mwisho atashinda kwa Spurs, hapo ndio kimbembe cha Europa minapokuja.
 
Mane ameanza kuwa mzembe kizuri zaidi jota anafanya powa anapopata namba sasa yeye hata kama anazingua anataka aendelee kucheza tu
Klopp ishu kama hizi hua hana muda nazo.

Ilitokea kwa Henderson tena hapo hapo Old Traford na hakuna ishu iliisha pale Pale.

Akaja Salah nae mambo haya haya tena yeye ni zaidi ya mara moja.

Akaja Keita nae vile vile Klopp aliizima chap.

Sasa amekuja Mane na Klopp kashasema it's all cool.

Anakomaa zaidi na wapi timu itamaliza kuliko haya ya wachezaji.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom