Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Njoo usome komeent yako ,tayari lecister kashampiga united na ole kawapa point 3 kwa kuweka kikosi dhaifu ,vip nyie leo wanyama ni wakali sana

Cavan

Bruno

Pogba

Aiseee

Ulinita nisome comment yangu na nikaitika kwa upole kabisa kuja kuisoma.

Na wewe nakuita uje uisome tena comment yako naomba uitike.
 
Unabadilisha gia angani eeh
Lecister akifungwa na chelsea ,then akashinda match ya mwisho hutaweza kumtoa ...

Chelsea pekee ndio yupo danger zone mpaka sasa ...
IMG-20210514-WA0028.jpg
 
Lecister akifungwa na chelsea ,then akashinda match ya mwisho hutaweza kumtoa ...

Chelsea pekee ndio yupo danger zone mpaka sasa ...View attachment 1784036
Ni hivi hapo yeyote anaweza akatolewa either Chelsea or Leicester kwasababu ukiangalia GD kati yangu na leicester ni ndogo sana hivyo Leicester tunaweza kumtoa kwa GD, Lakini pia chelsea kama atapoteza game na Leicester bas ntamtoakwa kumzid point. Sijui umenielewa???
 
Chelsea hatarini kutoka top 4 ..

Hawezi mfunga lecister city final na epl consecutively ..!
 
Lecister akifungwa na chelsea ,then akashinda match ya mwisho hutaweza kumtoa ...

Chelsea pekee ndio yupo danger zone mpaka sasa ...View attachment 1784036
Hapana haijalishi hata leicester tutamtoa. sisi tukishinda mechi zote tuna point 69 leicester sababu watakutana na Chelsea lazima mtu atapoteza point bado draw ni bora zaidi. itakuja goal difference only ila mechi ya jana imetupa uhai na nafasi zaidi labda tulivuruge wenyewe tu lakini chance kubwa tushinde game zetu zote hawa wawili wataamua hatma zao.
 
Nampenda sana Mane lakini kitendo chake cha kukataa kumpa mkono Klop kimenikera sana badala ya kujingalia yeye anataka kumlaumu kocha hata alivyoingia unaona kabisa impact yake ndogo kocha alikuwa sahihi kabisa kuweka nje. Hii ni team sio Tennis kaweka bench sio kwamba mchezaji mbaya ila form yake kwa muda sasa hayuko vizuri na lion tumeona kabla ya kuingia na baada ya kuingia. Natumaini ataomba msamaha vinginevyo team kubwa kuliko mtu anaweza kuondoka narudia nampenda sana Mane lakini jana kile kitendo kimenikera sana.
form yake mbaya kuliko firmino? yani firmino kuna kipind alikua anamweka benchi mpk Jota
 
form yake mbaya kuliko firmino? yani firmino kuna kipind alikua anamweka benchi mpk Jota
Halafu team yako imetoka kushinda mechi muhimu sana kwa mustakabali wa sisi kuingia Champions league na walionza wote watatu Salah, Jota na Firminho wamefunga unafanya kitendo kama kila tungekuwa tumefungwa unaweza kusema hasira ya kutoanza halafu kufungwa. Mane kachemka katika hili huwa tunasema Mo mbinafsi ila leo Mane kaonesha ubinafsi. Heshimu wachezaji wenzako heshimu team sisi tunapigani twende UEFA.
 
kwenye nidhamu nakubaliana na wewe kabisa, Mane kakosea sana tena sana!....

nilikua naweka sawa hapo uliposema et kwakua hayupo form hakustahili kuanza, ndio nikakwambia kuna kipindi Firmino akiwa hovyo kabisa alikua anapangwa daily mbele ya Jota aliyekua form!
 
Acha uzwazwa wewe lei akipoteza moja tu awe makini maana kuna GD ndogo mno yeye na liver, akifungwa game moja anaweza kupotea, pona yake asinde moja asuluhu moja
Wewe ni chelsea eeh ,

Huna uwezo wa kumfunga lecister city mara mbili mbwa wewe ...

Jiandae kutoka top four takataka mkubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom