Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Klopp na jopo lake la makocha wahaitaji kupata jawabu ya haya mambo kwa kasi kweli..
Sio habari powa kabisa..
YNWA
Sio habari powa kabisa..
YNWA
Walpigana kisa Nini sasa



Kwakwel liverpool ya sasa inanipa headache sana msishangae hata VVD na diogo jota wakarudi lakn kifinyo kikaendelea
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Spurs kashatibua, wamebaki Chelsea, Everton, Aston Villa na WesthamChelsea, Everton, Spurs, Aston Villa na Westham wakipata matokeo mazuri Liverpool inahamia kwenye Mid-Table
Mpaka kipa kapata asisist haijawahi kutokeaSure ile game ya liver vs city ni ubovu tu wa liver na sio kwamba city walikuwa on another level
Ngoja tuone City leo vs Spurs..
Bora kindoki hachomeshi.Adrian ni Kindoki wa Ulaya usilete utani.
Huwa anazunguka uwanjani kama mshare wa saa.Premier League assists since the start of 2018:
Ederson
2 assists
110 games played
Gini Wijnaldum
1 assist
111 games played
Huyu ndiyo Mido anayetaka Mkataba mnono
Yani hakuna haja ya kusubiri summer ilikuwa hii Jan aruhusiwe kuondoka tu.
Hakuna goal keeper hapoHuyu Kariuson asipojiangalia ataishia kukaa Bench hata hiyo Timu ya Taifa kwani Media zimeshaanza kumuattack na kumpa Promo Ederson.
View attachment 1702033
Kwani 7 za Aston villa ilikuwaje mzee.Kwakwel liverpool ya sasa inanipa headache sana msishangae hata VVD na diogo jota wakarudi lakn kifinyo kikaendelea
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo una maana liverpool na yeye ni kibonde??Baada ya Matokeo dhidi ya Spurs unaionaje Man City?
Inabahatisha, au bado inakutana na vibonde?
Mkuu mimi nimekuja kistaarabu kabisa hapa najua munayopitia kwa sasa ..Klopp juzi kafiwa na mama'ke hivyo bado msiba unamchanganya akitulia timu itakaa sawa tu ..nyie kwa sasa siyo title contender tena na ninasikitika kuwatangaza rasmi kuwa ni takataka tu kama takataka zingine..Ukweli mchungu.
Liverpool has become ordinary team. Yaani sioni tukiata hata top 4. Timu haina makali kabisa, muda wote ni kucheza back passes.
Alison amekuwa another Karius. Dhidi ya city aliwazawadia goals mbili. Leo tena kawapa leicester bao la kizembe kabisa. Ukiangali utadhani Kabak ndo alifanya blunder, lakini sio. Alison alitokea mbali Sana kufuata moira ambaao Kabak lazima angeucheza.
Next tunaenda kuaibika Kule ujerumani. Leipzig hawawezi kutuacha. Kwa ile Nazi pressing sijui tutaweka wapo sura zetu. Ndio tunazidi kuwakaribisha lina Ollachuga Oc kuja kutupigia kelele hapa jukwaani.
Tumeipenda wenyewe tuvumilie tu hanna namna.
YNWA


