Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

.
thepremierleagueclub-20210214-0001.jpg
 
Timu imekua pamoja muda mrefu Sana, need some changes hasa kwenye impact players

Jotta was one of them but he is out for two months now

Without those impact players to shake up the strating 11, stars waliopo wanakua Kama wapo kwenye ndoa
 
Liverpool main June target kashatua Bayern Munich..

Woow naona Edwards akirudi upya drawing board..

Bayern Munich have beaten several Premier League clubs to the signing of defender Dayot Upamecano from RB Leipzig, with the move to go through on July 1.

Both Liverpool and Chelsea had been linked with Upamecano - one of the most sought-after young defenders in the game - but Bayern have once again moved fast to get their man.

YNWA
 
Siku Ile na Spurs na jana..jinsi tunavyolala vizuri...hii timu ni dawa ya usingizi watu people...

Mimi bila hii timu nilikuwa silipii kifurushi DStv......

Siku hizi nalipa kifurushi bila kujali kabisa..
Tukumbushane kidogo ndugu zetu. Hii ni kipindi hicho, kabla maji hamjaanza kuyaita mnavyoyaita sasa, yaani mma!!!
 
Sijui nihamie liverpool..
aargh nimegairi bora nibaki na chama langu tu.
#CFC
Inaonekana ulifanya uamuzi sahihi Bwashee!
 
Liverpool main June target kashatua Bayern Munich..

Woow naona Edwards akirudi upya drawing board..

Bayern Munich have beaten several Premier League clubs to the signing of defender Dayot Upamecano from RB Leipzig, with the move to go through on July 1.

Both Liverpool and Chelsea had been linked with Upamecano - one of the most sought-after young defenders in the game - but Bayern have once again moved fast to get their man.

YNWA
Screenshot_20210214-191209.png
 
liverpool mulishawahi kushinda vita ya kumsajili mchezaji anayewaniwa na timu kubwa zaidi ya moja?
kama yupo basi nitajie jina lake na timu zilizoweka ofa mezani dhidi yake.
 
Bayern hawakutaka kusbiri Juni maana Liverpool na Chelsea walikua nao wameonyesha nia...

Japo Edwards ameonyesha kua na uzoefu wa kunasa wachezaji bora kwa bei ya sokoni niseme ukweli kabisa mtendaji wa Bayern hua namkumbali aisee jamaa wapo makini sana kwenye kununua na hawanunui ili mradi hakika kwa Dayot wamepata jembe..

Pale pale RB kuna CB blaki hivi partna wake na Dayot nae yupo vizuri usije shangaa Edwards akamchukua yule..

Tunao Jumatano tutawaona..

YNWA
 
liverpool mulishawahi kushinda vita ya kumsajili mchezaji anayewaniwa na timu kubwa zaidi ya moja?
kama yupo basi nitajie jina lake na timu zilizoweka ofa mezani dhidi yake.
Unaposema timu kubwa unaamisha timu zipi..

Kwanza hilo la kuweka ofa ni siri ya wahusika na ukumbuke haya yote hayasemwi na wachezaji husika mbali ni bla bla za magazeti na mitadao..

Kwa miaka ya hivi karibu Stev G alibakia Anfield pamoja na kutakiwa na Real Madrid na Chelsea.

Surez alibaki Anfield pamona na kutakiwa na Arsenal na Barcelona.

Bobby Firmino alichagua Anfield badala ya Stretford boys kuleta bla bla.

VVD alichagua kusubiri nusu msimu atue Anfield huku Chelsea kipindi kile wakiwa wamefika bei.

Allison aliichagua Anfield huku nao Chelsea wakiwa wamefika bei.

Mane simu moja tu ya Klopp ilmleta Anfield na kuwakacha Stretford boys..

Chamberlain aliwagomea Chelsea na kutua Anfield.

Elliott alipata ofa kutoka Chelsea, Spurs, Manchester United lakini mwishowe alitua Anfield.

Keita nae Bayern, Barcelona walikua wanamnyatia lakini alichagua majogoo wa jiji.

Klopp alifuatwa na mpaka Babu Fergie akumbali kutua Stretford boys lakini alwagomea na kusema hajaamua wapi atafanya yupo mapumziko na mapumziko yalivyoisha akatua Anfield na kushinda makombe yenye hadhi yote akiwa na Majogoo.

Stefan Bajcetic ametua January akitokea Celta Vigo huku akiwapiga chini Manchester United na Barcelona na kuchagua kuja Anfield.

Kwa haraka haraka nawakumbuka hao.

Ifahamike pia hawa wachezaji ni wafanya kazi hivyo kwao maslahi ndio chaguo la kwanza wapi anatua, cha pili kucheza mashindano ya Uefa na kingine ni aina ya kocha aliepo klabu husika kwa mfano Thiago inasemekana ndoto yake ilikua acheze chini ya Klopp hivyo Manchester City na Manchester United walimkosa kwa sababu hio..

YNWA
 
Mtu Kama trent, kachoka na anatucost Sana

Hatumsemi
Mkuu Trent na Robbo wapo hoi hawa niwakupumzishwa lakini je nani acheze hizo nafasi zao na ukumbuke Klopp anamshambulia kutumia flanks na msimu huu asilimia kubwa ni kupitia upande wa Robbo..

Tsimikas pengine ni wakati aanze kupata dikika saa ili Robbo ajikusanye vwa kutosha mechi zimebakia EPL 14 na za UEFA na sio za kupoteza kama tunahitaji kubakia BIG 4.

In the meantime

Bayern Munich are stepping up their pursuit of Norwich City right-back Max Aarons... Huyu dogo kwa kweli angetufaa sana upande wa Trent.. Bayern na Barcelona wameonyesha nia kumdaka sioni tena kama tunaweza kumpata maana Neco sio EPL material bado anahitaji acheze kwingine kwa mkopo hata misimu miwili hivi.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom