Hawa wote wanashinda kufikia j3 au j4 watajiona vilazaChelsea, Everton, Spurs, Aston Villa na Westham wakipata matokeo mazuri Liverpool inahamia kwenye Mid-Table


Wapewe chai na chapati za chadumakhumbu wa EPL
Mshamaliza packet
Huyu umpe team kama ya Roger anaishusha ndomana hana hana mchezaji aliliembakiza wa RogersKlopp System = Chinese Technology, never last long
Yap make mkono hauhusiki kwenye mpira , ndo mana ukigusa mpira Kwa mkono inakuwa ni faulo , alaf li mguu la firmino ndo liliua offside 🤪Amartey alikuwa ONSIDE! Uliozidi ni mkono tu, angekuwa kazidi bega ndio goli lingekataliwa.
Amartey alikuwa Onside..Mbali ya utopolo wa kipa na beki wake naomba mnisaidie sababu ya goli la kwanza la Leicester kukubaliwa.