Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa matokeo ya man city dhidi ya liverpool ungesema city ni bonge moja la timu lakini baada ya leicester kushinda leo unajiaminisha kuwa kumbe tatizo ni form ya liverpool hivyo man utd bado ni title contender.
Sure ile game ya liver vs city ni ubovu tu wa liver na sio kwamba city walikuwa on another level

Ngoja tuone City leo vs Spurs..
 
Ukweli mchungu.

Liverpool has become ordinary team. Yaani sioni tukiata hata top 4. Timu haina makali kabisa, muda wote ni kucheza back passes.

Alison amekuwa another Karius. Dhidi ya city aliwazawadia goals mbili. Leo tena kawapa leicester bao la kizembe kabisa. Ukiangali utadhani Kabak ndo alifanya blunder, lakini sio. Alison alitokea mbali Sana kufuata moira ambaao Kabak lazima angeucheza.

Next tunaenda kuaibika Kule ujerumani. Leipzig hawawezi kutuacha. Kwa ile Nazi pressing sijui tutaweka wapo sura zetu. Ndio tunazidi kuwakaribisha lina Ollachuga Oc kuja kutupigia kelele hapa jukwaani.

Tumeipenda wenyewe tuvumilie tu hanna namna.

YNWA
 
Baadhi ya makosa ya magolikipa husababishwa na ukosefu wa uimara wa viungo katika juhudi za kupunguza tensions za mpira kuelekea golini kwako.
Naamini hizi zote ni changamoto zinazotokana na kukosekana kwa VVD kama beki wa kati na kusababisha baadhi ya viungo tegemezi kucheza nafasi ya beki wa kati.
 
Ha ha haaa Chambaliiiin ha ha haa eti abadili matokeo hafu kuna watu wana mponda Origi ukimuuliza unanani tena atasema Chambalii

Sasa unamnyima namba Philipsi kaharibu lini? Aibu nimeona mimi
Jones sub was catastrophic but then over confidence Allison and poor communication him and Kabak made its 2, poor Kabak not the intro he expected but this is EPL there is no marginal for errors as you will suffer and again today we have suffered door to poor decision making from our players...

YNWA
 
Ha ha haaa Chambaliiiin ha ha haa eti abadili matokeo hafu kuna watu wana mponda Origi ukimuuliza unanani tena atasema Chambalii

Sasa unamnyima namba Philipsi kaharibu lini? Aibu nimeona mimi
Ivi kwann Chamberlain huwa akicheza Aidha akiingia kipindi cha kwanza au pili lazima Liverpool afungwe?

Hii kitu nimenoti hata kipindi yupo Arsenal jamaa akianza tu Arsenal isipofungwa basi hutoa draw.

Kipindi anatoka Arsenal kwenda Liverpool nilishukuru sana baada ya kuikacha Chelsea
 
Hata man city alipoteza consistence msimu uliopita na hata kupelekea Liverpool kuchukua ubingwa, so ni kawaida katika mashindano, ukipoteza consistency wengine wata takeover
Kutesa kwa zamu...

Bwana wee hatukuzoea haya lakini sasa kwa kasi hii hatuna namna sasa ni rasmi tunapambana kucheza Europa msimu ujao kihesabu..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom