Ukweli mchungu.
Liverpool has become ordinary team. Yaani sioni tukiata hata top 4. Timu haina makali kabisa, muda wote ni kucheza back passes.
Alison amekuwa another Karius. Dhidi ya city aliwazawadia goals mbili. Leo tena kawapa leicester bao la kizembe kabisa. Ukiangali utadhani Kabak ndo alifanya blunder, lakini sio. Alison alitokea mbali Sana kufuata moira ambaao Kabak lazima angeucheza.
Next tunaenda kuaibika Kule ujerumani. Leipzig hawawezi kutuacha. Kwa ile Nazi pressing sijui tutaweka wapo sura zetu. Ndio tunazidi kuwakaribisha lina
Ollachuga Oc kuja kutupigia kelele hapa jukwaani.
Tumeipenda wenyewe tuvumilie tu hanna namna.
YNWA