kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Anzeni kupunguza gape na Brighton kwanza man city sio Level yenu.Inabidi Man City Jumapili tumtafutie namna.
Ili walau tupunguze gap naye.
Anzeni kupunguza gape na Brighton kwanza man city sio Level yenu.Inabidi Man City Jumapili tumtafutie namna.
Ili walau tupunguze gap naye.
Ake.View attachment 1691387
Man C ndiyo ana anza mzunguko wa pili baada ya kucheza na Liverpool.
Liva ana majeruhi kibao bado tupo kwenye mbio za ubingwa lkn Man C kakosa tu KDB mechi na SU walicheza kama Bata,bila ubunifu wowote ule
Mungu yupo na sisi,tunaenda tetea ubingwa wetu
Yamekuwa haya tena?Siku tukija kugundua kuwa tatizo siyo majeruhi, tatizo siyo wachezaji kuchoka bali tatizo ni kocha. Tutakuwa tumeshachelewa.
Iweje kuchoka na majeruhi yatuathiri mechi za Fulham, West Brom, Brighton (x2), Southampton, Newcastle, Burnley na Aston Villa!
Ila kuchoka na majeruhi hakutuathiri tukicheza na Tottenham, Leicester, Man City, Man Utd, Chelsea, Arsenal, Wolves, na zingine zenye ubora kwenye ligi?
Mtamuona siku ya game yenu mzee anavyotupa kambani.Unataka tugeuke Man City kumnunua Stones kwa £50M wakati ni sawa Lovren tuliyemuacha?
Yamekuwa haya tena?
Kwahiyo tumtoe Klopp?
Sijui tuzoee hizi timu under position 10 zitakua zinakuja na mentality hii maana sio jana tu ni mechi za hawa wenye kiu ya kubakia EPL ndio zinatusumbua haswaa..Hata mechi ya Burnley nilifungwa lakini jitihada zilikuwa zinaonekana ni ile ilitokea bahati mbaya tu, leo umechezwa utopolo sijapata kuona, cjui mara ya mwisho kuona liverpool ya hovyo kama hii ya leo ilikuwa lini tu?
Mnafungwa na Brighton????msimu huu Klopp hatabeba kombe lolote amedharau Carabao na FA cup kwa kuona ni makombe madogo but kwa sasa ataanza kuyajutia sababu EPL na Champions league hatabeba
Madrid kachukua uefa mara tatu mfululizo nyie kuku mmebeba kombe moja tu mnaanza kusema morali imeshuka ,,,, juve kabeba kombe mara 9 mbona morali yao haishukiTimu hua ikishachukua makombe yote,hua ile njaa ya ushindi unapotea,wachezaji wanaona wana kila kitu.
Timu sasa inabidi ianze kutengenezwa upya. Nusu ya wachezaji waondoke damu mpya ije ambao hawana medali yoyote.
Kwa wachezaji hawa hawa hatutaona mabadiliko yoyote
Tumekusikia mwenye kiti.No
Mane
Kipa Becker
Fabihno
Matip
VVD
Gomez
Jota
Liverpool HALISI tuchukulie matokeo ya hii mechi kama changamoto yetu ya majeruhi,tuzidi kuwa nyuma ya team nawaomba sana
Kua mpole bro.Against Burnley you said we lost a game because there wasn't HENDO inside the pitch, Today HENDO was in starting line-up but I bet someone will say "We lost because Mane didn't play".
Ridiculous
Hapo hapo ghettoni kwao.Anfield![]()
Humu mbishi ni mmoja tu Kingwaba ukipenda Bin shamMashabiki ya liverkuku yamekimbia yote hayaonekan