Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp and Michael Edward need to have a serious think before the summer transfer window opens about selling our injury prone player.

Matip, Keita ,Shaqiri and maybe even Chamberlain need to be sold. We need to find replacements for them as soon as possible.
 
Naomba nipingane na ewew kwa viwango walivyoonesha Henderson na shakir Leo nadhani hawastahili kupata 7 kwa kweli..tunaweza kupinga kwa mapenzi tu binafsi Ila kwa yyt anaependa mpira na sio shabiki lazima atakubali huyu Henderson anaipigania Sana Liverpool,japo Hana uwezo wa gerrad Wala Messi Ila Ni mfano wa kuigwa kwa wachezaji wanaochipukia.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
Gerrard alikuwa overrated, sikuwahi kumkubali.
 
Hii team bana

Inasajili watoto wa bei chee ,kama wauza mitumba wa manzese aiseee...

Lin CB wa maana akanunuliwa euro mill 2 au 3

Hahaaaaaaa


Timu masikin sanaaa hii
 
Unataka tugeuke Man City kumnunua Stones kwa £50M wakati ni sawa Lovren tuliyemuacha?
Mkuu stone ndio ukuta wa etihad kwa sasa

Utaona kama kina salah ,mane na boby kama watapita ....


Dias ,stone ile ni pesa na kazi zao zinaonekana


Clean shit za kutosha tunachukua kwa sababu yao....
 
Mahusiano ya mshabiki na mchezaji yanakuwa mazuri pale tu matokeo yanapokuwa mazuri.

Kipindi ambacho upepo ulikata, kila mshabiki alikuwa frustrated juu ya mwenendo wa hawa wachezaji, kila baya lilisemwa dhidi yao, na mimi sioni kama ni tatizo kumsema mchezaji anapokuwa hafanyi vizuri. Iwe kwa auzwe au awekwe benchi.
Hata hivyo mchezaji asijione hana m badala mpaka awe na kiburi na kumpunzisha inampa nguvu ya kuanza upya au itasaidia yule msaidizi wake kujiamini pindi apatapo dharula.

Mfano sasa hivi hizi mechi 2 walizo anzishwa Shaq na Origi huyu ni kama vile alishakata tamaa kama atapangwa tena.
Origi mfumo wa 3 3 si rafiki kwake anajitahidi tu kufikia malengo ya mwalimu asili yake ni mshambuliaji wa mwisho
 
Endapo Edwards atafanikiwa kuwanasa hawa mabeki walipo kwenye pipe line basi upo uwezekano mkubwa sana wawili kati ya hawa Matip, Rys, Nats, Gomez, Neco Juni 2021 wakauzwa..

Muda utasema..

FSG kwa kubana matumizi ndio wenyewe hivyo sioni kikosi kikiwa kipana hivi pale nyuma..

YNWA
Hivi mkuu uuze baka up ya mtu kama philips unategemea nini?
 
Sky sources:

Ozan Kabak to lfc is almost a done deal! He signed his contract (loan plus option) just moments ago. Loan fee: 3m€. Option to buy: up to 30m€. Now the files need to be uploaded @FIFAcom and then we have the green light ✅👍🏻 #DeadlineDay

YNWA
 
Endapo Edwards atafanikiwa kuwanasa hawa mabeki walipo kwenye pipe line basi upo uwezekano mkubwa sana wawili kati ya hawa Matip, Rys, Nats, Gomez, Neco Juni 2021 wakauzwa..

Muda utasema..

FSG kwa kubana matumizi ndio wenyewe hivyo sioni kikosi kikiwa kipana hivi pale nyuma..

YNWA
Rys, Neco na Gomez ni ngumu sana kuwauza...... vijana na ni waingereza! btw wote ni wazuri kuwa backup
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom