Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Niwambie tu Washabiki wa Man United kuwa sisi Liverpool hatuna uwezo wowote wa kumfunga Man City hivyo atatufunga tu hata tufanye nini, kwahiyo tafuteni njia nyengine ya kupunguza game la points na Man City na si kupitia mechi yetu.
Hivi Manchester United kweli wana ndoto kabisa kumshusha Pep kileleni haha nwei ni msimu wa maajabu lolote lile linawezekana aisee japo kwangu naona ngumu sana...

Bila KBD, Aguero na Laporte wanashinda na wameshinda gemu 13 mfululizo huu ni ujumbe tosha wanachokitaka msimu huu ni ubingwa tu na pengine kama wana bahati basi UCL nayo ipo wazi kwa mwenye mipango dhabiti kuichukua..

YNWA
 
Duh, bro una roho mbaya, kama meli ya sumu!

Uko tayari utoke nje ya top 4 kisa tu Manchester United asichukue ubingwa!

Sasa sisi mashabiki wa Manchester United tuna sema hivi, tumekuteua wewe ndio umtulize City hapo kwako.
Hiyo utake usitake.

Na siku hiyo kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu nitakushangili na kubana peke zangu kwa uchungu kuhakikisha unashinda.

Nakuomba usiniangushe.
mkuu ata kama adui yako mwombee njaaa ila sio liver ashibe hapo bora jiran ashinde tu sio mtani
 
Kocha huyu aliye chukua ubingwa mechi 8 mkononi leo ndiyo tatizo?
Pep ali ondoka kwenye ubingwa 2019/20 mwezi Dec tatizo lilikuwa nn?
Kupoteza EPL ni kupoteza haijalishi unapoteza kwa nani!
City huyu hajamfunga yyt 6 top teams msimu huu wao tatizo ni nn?
(Hajamfunga Liverpool,Man U,WHU,LC na Spurs)
Wewe Klopp ni mume wako.
 
Big mechi tuko vizuri,hivi vitimu vidogo ndio tatizo.
Fergie the great hivyo vitimu vidogo ndio vilikua vinampa ubingwa ndugu na sio kuwachapa timu kubwa hata sisi msimu uliopita vitimu vidogo tulivipiga mno mzunguko wa kwanza unaisha vilikua vinaomba po...

Mechi 6 zilizopita Manchester City kacheza na hivyo vitimu vidogo na kujikusanyia pointi 18 ndugu..

Tazama sisi haraka haraka tumekosa pointi 6 muhimu kwa Burnley na Seagulls...

Manchester City kupoteza mechi 3 na sisi kushinda mechi 5 mfululizo kwa kweli ni ndoto...

To be realistic I will take Big 4 finish as job well done considering the injuries and loss of form kwa wachezaji wetu...

The wins aganist Hammers and the Whites made us dream again perhaps Citizens are there to be nailed haha pipe dreams but jana was reality check we aint out of the woods yet...

YNWA
 
Liverpool next EPL 10 fixtures.

Feb 7: Liverpool vs Man City (H)

Feb 13: Liverpool vs Leicester (A)

Feb 20: Liverpool vs Everton (H)

Feb 28: Liverpool vs Sheff Utd (A)

March 6: Liverpool vs Fulham (H)

March 13: Liverpool vs Wolves (A)

March 20: Liverpool vs Chelsea (H)

April 3: Liverpool vs Arsenal (A)

April 10: Liverpool vs Aston Villa (H)

April 17: Liverpool vs Leeds (A)

YNWA
 
Duh, bro una roho mbaya, kama meli ya sumu!

Uko tayari utoke nje ya top 4 kisa tu Manchester United asichukue ubingwa!

Sasa sisi mashabiki wa Manchester United tuna sema hivi, tumekuteua wewe ndio umtulize City hapo kwako.
Hiyo utake usitake.

Na siku hiyo kwa mara ya kwanza kwenye uhai wangu nitakushangili na kubana peke zangu kwa uchungu kuhakikisha unashinda.

Nakuomba usiniangushe.

Wale wa Man City tujuane mapema! Ubaya Ubaya tu
 
Manchester City akitoka salama hizi mechi 5 zijazo basi ubingwa wakabidhiwe mapema kabisa wengine tujipange kwa msimu ujao..

Liverpool vs Manchester city on 7February

Manchester city vs Tottenham on 13 Feb

Arsenal vs Manchester city on 21 Feb

Manchester city vs westbrom on 27 Feb

Manchester city vs Manchester United on 6 march

YNWA
 
Hahaha na siku nyingine akasema nyasi mara barafu yaaani mbona ishu dogo tu ni kwamba drill walizofanya labda za vs Manchester City na sio vs Seagulls...

YNWA

Unakumbuka 2018/19 game tuliyoshindwa kumfunga Manure akiwa na injuries karibu Timu nzima mwisho wa mchezo akasingizia 'Injuries za Manure zimemuharibia game Plan yake'? Nilicheka mpaka basi.
 
Manchester City akitoka salama hizi mechi 5 zijazo basi ubingwa wakabidhiwe mapema kabisa wengine tujipange kwa msimu ujao..

Liverpool vs Manchester city on 7February

Manchester city vs Tottenham on 13 Feb

Arsenal vs Manchester city on 21 Feb

Manchester city vs westbrom on 27 Feb

Manchester city vs Manchester United on 6 march

YNWA
Hahaaaaaa

Hapo tunatembeza fimbo

Tunaanza anfield
 
Liverpool next EPL 10 fixtures.

Feb 7: Liverpool vs Man City (H)

Feb 13: Liverpool vs Leicester (A)

Feb 20: Liverpool vs Everton (H)

Feb 28: Liverpool vs Sheff Utd (A)

March 6: Liverpool vs Fulham (H)

March 13: Liverpool vs Wolves (A)

March 20: Liverpool vs Chelsea (H)

April 3: Liverpool vs Arsenal (A)

April 10: Liverpool vs Aston Villa (H)

April 17: Liverpool vs Leeds (A)

YNWA
Points 15 mkijitahidi
 
City

Anadraw na Liver ( 0-0 )

Atamfunga Tote ( 2-0)

Atamfunga Ase8 (3-0)

Atamfunga Westbrom (1-0)

Atamfunga Nyumbu ( 2-1)
Yaani kwako atadraw! Really??

Timu kiungo anduche shakir, timu foward firmino! Thiago anachojua ni kucheza rafu na back pass tu

Iyo draw unaipataje kwa mfano?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom