TokaaaaaaaaaKuna ka confidence kanarandaranda kumoyo kwamba tuna score goli kuanzia 2 kwenda juu, LIVERPOOL HALISI TUPO NYUMA YA TEAM













Milele kabisaNext game
Feb 07
Liverpool Vs Mancity
Klopp mitano tena








Sawa sawa boss ..wale takataka wa MASLAHI na PEP wakafie mbali..No
Mane
Kipa Becker
Fabihno
Matip
VVD
Gomez
Jota
Liverpool HALISI tuchukulie matokeo ya hii mechi kama changamoto yetu ya majeruhi,tuzidi kuwa nyuma ya team nawaomba sana





Hizi kauli wakati mwingine mnatoa huku mumeshashiba maharage ..mukituliza akili mkuu unasema Man city aje lini???Man City waje tu hata mchana huu tupo tayari





Watakuwa hawana tofauti na Arse8 kwa sasa..Aisee!
Unaweza kufanikiwa kumfunga City, lakini bado hiyo haiwezi kutosha kukupa ubingwa kama utakuwa unagawa points kwa hizi timu ambazo City akikutana nazo anazifumua. Mnachokifanya ni sawasawa na kuchota maji kwenye pipa kwa kutumia tenga.







Mashabiki ya liverkuku yamekimbia yote hayaonekan
Mashabiki ya liverkuku yamekimbia yote hayaonekan
HahahahHizi kauli wakati mwingine mnatoa huku mumeshashiba maharage ..mukituliza akili mkuu unasema Man city aje lini???
Anfield au Etihad![]()
Siku tukija kugundua kuwa tatizo siyo majeruhi, tatizo siyo wachezaji kuchoka bali tatizo ni kocha. Tutakuwa tumeshachelewa.
Iweje kuchoka na majeruhi yatuathiri mechi za Fulham, West Brom, Brighton (x2), Southampton, Newcastle, Burnley na Aston Villa!
Ila kuchoka na majeruhi hakutuathiri tukicheza na Tottenham, Leicester, Man City, Man Utd, Chelsea, Arsenal, Wolves, na zingine zenye ubora kwenye ligi?