Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

.
premierleague-20210204-0001.jpg
 
The citizen without KdB they are not a threat any more!
Watu bhana!!!
Man City imebeba ligi kuu KDB akiwa majeruhi karibia msimu mzima!
KDB huwa anaiongezea Man City uhatari, lakini bado Man City inaweza kupata matokeo bila yeye!
Ili Man City iyumbe ni vyema dua zako ukazielekeza kwenye majeruhi upande wa ulinzi. Omba sana Ruben Dias na Stones wapate majeraha, hapo Man City itakuwa ni Southampton iliyochangamka.
 
Wow dream come true...

We are winning the league aisee..

Manchester City without KDB seem lost no ideas soon they will taste defeat na wanaanza kwetu...

Now Thiago upfront is just fabulous..


YNWA
Aisee!
Unaweza kufanikiwa kumfunga City, lakini bado hiyo haiwezi kutosha kukupa ubingwa kama utakuwa unagawa points kwa hizi timu ambazo City akikutana nazo anazifumua. Mnachokifanya ni sawasawa na kuchota maji kwenye pipa kwa kutumia tenga.
 
#EPL Brighton wamefanikiwa kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Anfield kwa mara ya kwanza tangu 1984. Wakati Liverpool wameshindwa kufunga goli kwenye mechi tatu mfululizo za nyumbani kwa mara ya kwanza tangu 1984.

Liverpool 0-1 Brighton
️ Alzate 56'
 
Hii dozi Brighton inazotoa kwa timu kubwa lazima ni dozi mpya
 
bado mnauota ubingwa msimu huu?
Man city kashaandaa ky tayari kwa ajili ya kuyeleza pangoni kwa liverful
 
Against Burnley you said we lost a game because there wasn't HENDO inside the pitch, Today HENDO was in starting line-up but I bet someone will say "We lost because Mane didn't play".
Ridiculous
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom