Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Hii midfield inaweza ikawa hatari sanaMANE - BOBBY - SALAH
THIAGO - FABI - HENDO
ROBBO - DEVIES - KABAK - TAA
ALISSON
Hii midfield inaweza ikawa hatari sanaMANE - BOBBY - SALAH
THIAGO - FABI - HENDO
ROBBO - DEVIES - KABAK - TAA
ALISSON
Aisee timu nyingi zimetujulia kuwa wakipaki Basi klop lazma afeliVibonde vinatoka na clean sheet anfield
Aiseeee ni jambo la kutafakali
Liverpool vs burnely (0-1)
Liverpool vs brighton (0 -1)
Je hizo timu ziko na CB wakali kiasi kwamba kina salah hawaoni lango ?
Au klop hana mbinu kwa timu inayojilinda
Kile nguruwe anapiga kimoko tu watoto 12Mmepigwa cha nguruweeee...
Thers is a problem somewhere we must accept the truth kwamba kumfunga Brighton doesn't need VVD au FABINHO.
Na keita ndo anaweza kuzifunguaga hizi timu but ndo hivyo tena yuko hospitalSwala ni moja tu tukikutana na team inayojilinda (kupak bas) hatufurukuti...totenham alifunguka tukashinda akaja westham akafunguka tukashinda leo wamekuja watu wanaokaa 7 kwenye boksi wanasubir kupiga counter na hatujafurukuta
Siku tukija kugundua kuwa tatizo siyo majeruhi, tatizo siyo wachezaji kuchoka bali tatizo ni kocha. Tutakuwa tumeshachelewa.
Iweje kuchoka na majeruhi yatuathiri mechi za Fulham, West Brom, Brighton (x2), Southampton, Newcastle, Burnley na Aston Villa!
Ila kuchoka na majeruhi hakutuathiri tukicheza na Tottenham, Leicester, Man City, Man Utd, Chelsea, Arsenal, Wolves, na zingine zenye ubora kwenye ligi?

Unamaanisha Liverpool siyo? Maana kuna timu kibao ambazo zimekuwa kwenye peak kwa muda mrefu na kupelekea kuchukua ubingwa mfululizo. Sasa ninyi ubingwa wa msimu mmoja tu, wachezaji wanakosa sababu ya kuwa kwenye peak?!?Timu hua ikishachukua makombe yote,hua ile njaa ya ushindi unapotea,wachezaji wanaona wana kila kitu.
Timu sasa inabidi ianze kutengenezwa upya. Nusu ya wachezaji waondoke damu mpya ije ambao hawana medali yoyote.
Kwa wachezaji hawa hawa hatutaona mabadiliko yoyote
Vip city atafungwa na man u atafungwa na everton, arsenal , chelsea na liverpool nyie mtakuwa mabingwa?Kocha huyu aliye chukua ubingwa mechi 8 mkononi leo ndiyo tatizo?
Pep ali ondoka kwenye ubingwa 2019/20 mwezi Dec tatizo lilikuwa nn?
Kupoteza EPL ni kupoteza haijalishi unapoteza kwa nani!
City huyu hajamfunga yyt 6 top teams msimu huu wao tatizo ni nn?
(Hajamfunga Liverpool,Man U,WHU,LC na Spurs)
Sio kweli, labda nyie looserful tu, mbona timu nyingi zimechukua back to backTimu hua ikishachukua makombe yote,hua ile njaa ya ushindi unapotea,wachezaji wanaona wana kila kitu.
Timu sasa inabidi ianze kutengenezwa upya. Nusu ya wachezaji waondoke damu mpya ije ambao hawana medali yoyote.
Kwa wachezaji hawa hawa hatutaona mabadiliko yoyote
From being heroes to BHA"s laughing stock! We are finished man!Against Burnley you said we lost a game because there wasn't HENDO inside the pitch, Today HENDO was in starting line-up but I bet someone will say "We lost because Mane didn't play".
Ridiculous
Sio kweli, labda nyie looserful tu, mbona timu nyingi zimechukua back to back