King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,453
Nimepitia Platforms mbalimbali nimegundua kuwa Washabiki wa Manure na Arsenal wanalazimisha kuwepo na mgogoro baina ya Mashabiki wa Liverpool na Klopp.
But kwa bahati mbaya kwa upande wao ni kwamba Mashabiki wa Liverpool na waelewa kuhusu uwezeshaji wa Timu yao na wanajua ni wapi hasa penye tatizo la msingi.
But kwa bahati mbaya kwa upande wao ni kwamba Mashabiki wa Liverpool na waelewa kuhusu uwezeshaji wa Timu yao na wanajua ni wapi hasa penye tatizo la msingi.