Liverpool HALISI tunasemaje "If yu kant sapoti az wen wi droo or loz, dont sapoti az wen wi win"
Tuzidi kushikamana na kuwa nyuma ya Timu tuwaache Liverpool MASLAHI wawatukane wachezaji.
Kwani msimu uliopita mlivyokuwa mnashangilia kuifunga Man u, Salah anavua mpaka jezi Man u ilikuwa inashinda kila mechi?Manure wamepiga Bomu Motuary wanavyosherehekea utadhani wametukuta tunashinda kila mechi
Manure wamepiga Bomu Motuary wanavyosherehekea utadhani wametukuta tunashinda kila mechi
Using a 19-year old kid at that level is unacceptable...someone somewhere (not the gaffer obviously) must be held accountable.
Hurts to get beat by the mancs. We cannot merely push this result under the carpet just like that!
Wakati tukaendelea kushikamana sisi Wana Liverpool HALISI tumkumbuke kwenye maombi yetu Firmino, tumwombee awe wa kwanza kupata timu kati ya front 3 yetu atuache kidogo.
Samahani mkongwe!Wewe ni kibaraka wa timu gani ..nakuona kama kigeugeu..kama sio arsenal inayokufa basi wewe ni Chelsea inayozama baharini au man city inayokata roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengo la vvd limezibwa vizuri mno na fabinho, sometimes klop sijui anavutaga bange za wapi, William 46 yule mrembo gemu nyingi kachemka vibaya lkn klop kakomaa naye tu, Philips 47 the boy is matured anatosha kabisa kumkalisha bench Gomez, lkn cha ajabu klop kapuuzia huduma ya yule Dogo. Pain killerAliekosekana ni VVD tu ambae ana uhakika wa namba ktk timu ya jana mlitufunga 2-0 pale kwenu mwaka jana angalia kile kikosi kilivyokuwa cha manchester unite injury zilikuwa nyingi sana bora hata nyie ni vvd tu
Pengo la vvd limezibwa vizuri mno na fabinho, sometimes klop sijui anavutaga bange za wapi, William 46 yule mrembo gemu nyingi kachemka vibaya lkn klop kakomaa naye tu, Philips 47 the boy is matured anatosha kabisa kumkalisha bench Gomez, lkn cha ajabu klop kapuuzia huduma ya yule Dogo.
Ana miaka 20. Kazalia oct 1 2001Greenwood ana miaka 28