Huu utulivu mnaouonyesha ni maandalizi ya kimbunga.Jaribu kupitia Comments zetu japo za masaa 12 yaliyopita utaona kuwa hatuna tatizo lolote na Klopp hata tukishuka Daraja tukaenda Championship bado tutakuwa na Imani na Klopp kwani anayesababisha matatizo yote haya tumeshamzungumzia sana tu na wala sio Klopp.
Hivyo sidhai kama unaweza kuona KloppOut kwenye huu Uzi.

