Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Soon tunaweza jikuta kwenye Table namba hii 👇

7. Liverpool FC
Maisha yanakwenda kasi sanaaaa

Trump sio raisi wa America🇺🇸🇺🇸🇺🇸...

Liverpool nafasi ya saba🙄🙄....

Westham nafasi ya nne..

Gunners pointi the 30..

Lampard huyooo likizo...

Liverpool usajili wa beki bado njia panda...

YNWA
 
Fabinho shifted from Midfield to Centre Back but is not a big issue

Hendo shifted from Midfield to Centre back kwa game 2 only, You can see this kwenye Cover page ya Magazeti yote ya Uengereza kama Skipper is a leader, humble boy and very disciplined kukubali kuhama position yake kutoka Mido to CB
 
Kwa taarifa hii ya Deloitte ni wazi pesa ipo hivyo FSG waache danganya toto..

Bila UCL tumekwishaaaaaa..


YNWA
 
Kwa taarifa hii ya Deloitte ni wazi pesa ipo hivyo FSG waache danganya toto..

Bila UCL tumekwishaaaaaa..


YNWA

Mapato ni £489.9M lakini bado tunategemea tuuze ndiyo tusajili.
Anyway from lounghing stock to Top 5 kiukweli tumepiga hatua! Mpaka kufikia Man City, Chelsea na Arsenal Kuwa nyuma yetu ujue kazi haikuwa ndogo kwani walituburuza kwa miaka mingi.

Screenshot_20210127-201536.png
 
Mapato ni £489.9M lakini bado tunategemea tuuze ndiyo tusajili.
Anyway from lounghing stock to Top 5 kiukweli tumepiga hatua! Mpaka kufikia Man City, Chelsea na Arsenal Kuwa nyuma yetu ujue kazi haikuwa ndogo kwani walituburuza kwa miaka mingi.

View attachment 1687612
Uwanjani matokeo yakiwa ni ushindi ujue makombe yatakuja tu na hayo huja na mkwaja mzito pia wadhamini nao wanakuja na ofa kambambe hivyo brand inakua nzito inajiuza yenyewe....

Yaaani all good...

Kingine wamewekeza zaidi kwenye social media zaidi.. Hii nayo inachangia taarifa za klabu kwa mashabiki wanazipata on time..

Sasa hofu yangu ni kurudi nyuma badala ya kwenda mbele... Hii hatua ya kua 5 bora ilitakiwa iwe ndio nguzo kuu sasa kuisaka 3 bora na hii ni kuhahakisha kikosi kipo imara na kipo ki ushindani kwa kuhahakisha Klopp anawezeshwa na wachezaji anaohitaji...

Kumaliza nje ya top 4 na bila EPL trophy ama UCL trophy tutajikuta tupo nafasi 8 ama chini ya hapo...

Pamoja na kulipa mishahara bado timu ina unafuu wa kuingia sokoni..

YNWA
 
Klopp annual income in numbers, salary plus some of his sponsorship..

He earns almost £6.7m in sponsorship and most of this companies are in German like Opel car maker, beer company Erdinger and even two financial institutions, VR-Bank and Deutsche Vermogensberatung and also Sky Sports

Raking in a combined £22.7m inclusive salary £16m and sponsorship deals, Klopp gives generously to charity and is involved in football's 'Common Goal' initiative.

Klopp donates one per cent of his salary to worthy causes in Liverpool, Erfut (Germany) and Cape Town (South Africa).

The German Nazi is well paid..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom