Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Safari Sio Kifo Tuombe Sana Mungu Mgonjwa Wetu pale Anfield apone haraka sana asijegeuka akawa kama yule mgonjwa kule Emirates Tutakufa kwa SONONA YNWA
 
Jaribu kupitia Comments zetu japo za masaa 12 yaliyopita utaona kuwa hatuna tatizo lolote na Klopp hata tukishuka Daraja tukaenda Championship bado tutakuwa na Imani na Klopp kwani anayesababisha matatizo yote haya tumeshamzungumzia sana tu na wala sio Klopp.
Hivyo sidhai kama unaweza kuona KloppOut kwenye huu Uzi.
Kaa kimya huna ujualo wwe
 
FSG need to support Klopp in this Jan window ASAP otherwise Hata huko champions League tutaumbuka
Using a 19-year old kid at that level is unacceptable...someone somewhere (not the gaffer obviously) must be held accountable.

Hurts to get beat by the mancs. We cannot merely push this result under the carpet just like that!
 
FSG need to support Klopp in this Jan window ASAP otherwise Hata huko champions League tutaumbuka

Mkuu hujamsikia Klopp kuhusu usajili?
Alishasema last week kuwa alipelekea pendekezo la kununua CB lakini FSG wakalikataa kutokana na Financial Policy yao. Hivyo yeye si Mtoto mdogo wa miaka 5 hawezi kulia kwa kukosa kupewa alichokitaka
 
Wanatakiwa wampe support aisee kama wasitegemee miujiza pekee
Mkuu hujamsikia Klopp kuhusu usajili?
Alishasema last week kuwa alipelekea pendekezo la kununua CB lakini FSG wakalikataa kutokana na Financial Policy yao. Hivyo yeye si Mtoto mdogo wa miaka 5 hawezi kulia kwa kukosa kupewa alichokitaka
 
Adjustments.jpg
 
  • Origi tutafute mteja
  • Xhaqiri tutafute mteja
  • Salah tutafute mteja
  • Gini aruhusiwe aondoke
  • Matip atafutwe mteja
  • Wilson atafutwe mteja
  • Nat Phillips atafutwe mteja
  • Adrian Arudishwe Mtaani
  • Keita atafutwe mteja
  • OX atafutwe mteja
  • Grujic atafutwe mteja

Mpaka hapo tutapata hela ya usajili kupitia sera yetu ya Sell to Buy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom