OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Hahahahaha eti arsenal iliyokufa[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja wenye timu zao waje ..ohooWewe ni kibaraka wa timu gani ..nakuona kama kigeugeu..kama sio arsenal inayokufa basi wewe ni Chelsea inayozama baharini au man city inayokata roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana hujui hadi leo mimi ni shabiki ndaki ndaki wa The Blues? Timu ya baba, timu ya mama, timu ya babu, tumu ya bibi..
Amia Chelsea mkuu acha kuzubaa mjini hapa..