permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,333
- 15,049
Ighalo mitano tena.Hapo kwa Ighalo, hiyo itakua ana tutafuta shari mashabiki.
Ighalo mitano tena.Hapo kwa Ighalo, hiyo itakua ana tutafuta shari mashabiki.
Mimi ni Liverpool HALISI mwandamizi chini ya mwenyekiti wetu tukuka bwana Malafyale.
Sisi ni wazee wa kushikamana, ambao hatuoni umuhimu wa kusajili wachezaji wapya, hawa waliopo chini ya Captain wetu Henderson wanatosha.
Hutaki unaacha.
Mim binafsi naamin title contenders mpaka sasa ni
Liverpool na man city
Full stop
Swala la utd kubeba EPL ,akili inakataa kabisa ,
Kwa form ya Jota alipotia maguu LFC nashangaa kuna watu humu wakawa wanaendekeza mahaba kwa FirminoHapo Liverpool tutoe mkuu, Man City nampa chance kubwa zaid
Mfungeni spurs, man city na Leicester then potezeni na westham na Brighton, mutakuwa mumeifanyia Dunia jambo LA maana.Tumeshacheza game 5 bila ya ushindi, na hizi 5 nyengine bila ya ushindi.
Kiujumla tunaenda kuweka rekodi ya bingwa Mtetezi kucheza game 10 bila ya ushindi.
Mfungeni spurs, man city na Leicester then potezeni na westham na Brighton, mutakuwa mumeifanyia Dunia jambo LA maana.
Mfungeni spurs, man city na Leicester then potezeni na westham na Brighton, mutakuwa mumeifanyia Dunia jambo LA maana.
No, Bora Man City na Leicester watupige za kutosha tu then Waliobakia tutoe sare.
Sisi kama hatuna uwezo haina haja ya kuwaharibia walio na uwezo.
Kwa form ya Jota alipotia maguu LFC nashangaa kuna watu humu wakawa wanaendekeza mahaba kwa Firmino
Kwani umelazishwa?
Kuna watu hata ukiwapa offer ya bia watatamani wakanywe mataputapu ili chenji aamke nayo asubuhi.
bora kushuka daraja ila sio kufungwa na manyuu na chelsea,Hahahahahahaa
hhahaaaaaaaaaaaaaMim binafsi naamin title contenders mpaka sasa ni
Liverpool na man city
Full stop
Swala la utd kubeba EPL ,akili inakataa kabisa ,
Pamoja na yote ,ukiangalia vizur kwa jicho la tatu ,Liverpool bado wanacheza kibingwa ,ukilinganisha na mbinu za kocha mzoefu klop
Harafu ile table ilivo sio ya kujivunia et uko top ,never
Liverpool wanakosa kitu kidogo tu finishing ,kuhusu kutengeneza nafasi bado wapo vizur .
Timu bado ina sprit ya ubingwa ,team yeyote kuna muda mpira unawakataa kabisa ,then wanarudi kwenye form