Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain kama huyu alicheza na mabeki wa kati kama Skirtel na Kaygriakos.
Alicheza na mabeki wa pembeni ka Arbeloa na Emily Insua.
Alicheza na Viungo kama Lucas Leiva na Jordan Henderson.
Alicheza na Washambuliaji kama Voronin na David Ngog.
But still alimanage kutupa chochote kupitia jitihada binafsi.
Wakati wa shida yeye ndiyo anashika hatamu ya mapambano.
Huyu Captain hakupata bahati ya kucheza na Liverpool ya kina VVD, MANE, SALAH, ALISON, FABINHO, TAA na ROBBO.
Duuh kweli tulikotoka panatisha mno wachezaji enzi kuja team ya nafasi ya 7 mpaka 10 ilikua ishu sana kuwavuta wengi walitugomea kwa vile hatukua na UCL lakini leo hii mpaka wachezaji kama Mbappe tunatajwa kuwataka kweli maisha yanakwenda kasi 5G...

Enzi hizo wachezaji wetu ni Downing, Charie Adams, Jerry Spearing, Insua, Peter Crouch nk bado tulitulia tulii tukijua kuna siku tutakaa sawa na kweli baada ya kutua Klopp tupo sawa na huu wa sasa ni upepo utapita tu...

Hakika kumfananisha Steve Gerrard na Hendo ni kama kufananisha usiku na mchana...

Hendo ana bahati amezungukwa na wachezaji wenye talanta bora kabisa zaidi yake na anacheza chini ya kocha bora kabisaaaa... Hii bahati Steve hakuipata.

YNWA
 
Mim binafsi naamin title contenders mpaka sasa ni

Liverpool na man city

Full stop

Swala la utd kubeba EPL ,akili inakataa kabisa ,

Unazungumzia Liverpool hiihii inayofunga goli moja la kuvizia kwenye mechi 5 au kuna nyengine?

Title race ni Man City v/s Man United ndugu.

Liverpool kwasasa anachoweza ni kugombea Top Four tu manake muda wowote anaweza kutupwa nje.
 
mirror na daily mail ni wazee wa kuchochea moto.
Ile sinema ya CEO michael zorc vs klopp ilimalizika kwa talaka
sijui hii ya FSG itakuwaje.
============

Some frank home truths from Klopp who says:
He strongly recommended signing centreback. Was told no money by Liverpool owners. They will not change stance on signings despite poor form. He won't 'cry like a baby' because he doesn’t get what he wants.
 
Washabiki wenzangu hivi munajua kuwa Mathematically sisi tupo nafasi ya 6?

Sasa subiri Everton ashinde kiporo kimoja tu kati ya Viporo vyake Viwili.
Na Spurs ashinde kiporo chake kimoja.

Sasa katika hizo Timu 6, mbili kati yao Man City na United lazima zimalize wa kwanza na wapili, nafasi za kugombea Top Four zimebakia mbili tu Yani 3 na 4.

Sasa kwenye nafasi hizi za 3 na 4 wafuatao ndiyo wanazitaka:-

Leicester
Everton
Spurs
Liverpool
Chelsea
Arsenal

Timu 6 hizo wanazitolea macho nafasi ya 3 na 4 unadhani hapo tutamshusha nani?

Kazi tunayo.
 
Huyu Klopp atashindwana nao hawa FSG, jamaa wana very strong Financial Policy ambayo hawako tayari kuivunja kwa reason yoyote ile.

Sera yao Sell tu Buy kamwe hawapo tayari kuivunja.

Kwasasa watalazimika kumuuza Star mmoja ili wapate pesa nyingi wasajili, na kila nikiangalia mchezaji ambaye ni Superstar kwa Timu yetu tunayeweza kupata pesa za usajili ni Salah, Hivyo njia pekee kwasasa auzwe Salah ili tupate pesa za usajili.
Pia kina Origi, Xhaqiri, Grujic, Wilson, OX, Keita, Matip nao wauzwe kuongezea hela za usajili.

Vinginevyo basi imekula kwetu kwani Klopp hata atoe mapendekezo gani ya usajili hatosikilizwa.
 
Washabiki wenzangu hivi munajua kuwa Mathematically sisi tupo nafasi ya 6?

Sasa subiri Everton ashinde kiporo kimoja tu kati ya Viporo vyake Viwili.
Na Spurs ashinde kiporo chake kimoja.

Sasa katika hizo Timu 6, mbili kati yao Man City na United lazima zimalize wa kwanza na wapili, nafasi za kugombea Top Four zimebakia mbili tu Yani 3 na 4.

Sasa kwenye nafasi hizi za 3 na 4 wafuatao ndiyo wanazitaka:-

Leicester
Everton
Spurs
Liverpool
Chelsea
Arsenal

Timu 6 hizo wanazitolea macho nafasi ya 3 na 4 unadhani hapo tutamshusha nani?

Kazi tunayo.
Aseno, chelsea na everton watoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Wataalamu sijui mutapata maana gani kwenye haya maneno ya Klopp lakini mimi mwenzenu maana ya moja kwa moja niliyoipata hapa ni kwamba Klopp kakataliwa na FSG kumsajili CB.

Hawa jamaa wanasimamia sera zao fedha bila ya kuyumba hata kama Timu ipo kwenye hali mbaya kiasi gani.
 
Mkuu sijui unautazama mpira katika angle gani lakini sidhani kama Mchezaji kutoka Timu moja anapimwa kwa Timu nyengine!

Hivi unajua kuwa DIOGO JOTA alikuwa wa kawaida pale Wolves na hakuwa na namba kwenye kikosi cha kwanza bali alikuwa mchezaji wao wa FA?

Lakini alipokuja Liverpool kawa vipi? Si kawa mchezaji wetu wa kumtegemea.

Kwahiyo hata huyu Jota angeenda Chelsea pengine angefeli na tukasema mbovu.

Werner ndiyo ameshindwa kuadapt na Chelsea, Je una uhakika angekuja Liverpool angekuwa Failure pia? Are you sure?
Mimi naamini Werner ni Mchezaji mzuri na anadeserve kucheza Liverpool na angekuja Klopp angeweza kummanage na aka-adapt na Timu/Ligi.
Klopp kutomnunua Werner si kwasababu ni Mjanja kajua kuwa atflop, bali ni Bei na Maslahi binafsi ya mchezaji hasa Mshahara na Bonuses tu ndiyo zilizowakwamisha FSG kumnunua.

Suala la Management ya kocha kwa mchezaji inasababisha mchezaji kupotea! Hivi unadhani Brendan Rodgers angeendelea kuwepo Liverpool leohii tungekuwa na Firmino? Ulishasahau kuwa Rodgers alimpoteza Firmino na kumfanya kama Molinga? Je Firmino alikuwa mbovu? Tumshukuru Klopp kwa kumfufu Firmino na kumrudisha mchezoni jambo ambalo hata kwa Werner ana uwezo wa kulifanya na akawa tishio.

Lampard anamuua Werner
Lampard anamuua Harvertz
Lampard kamuua Joginho
Lampard anauwa Makipa

Lampard ana poor management kwa Wachezaji, Mchezaji kama Harvertz si wa kushindwa kucheza EPL but ameshindwa.

Hivyo Werner ni Mchezaji mzuri but amekosa Coaching tu.
umeongea ushabiki tu apo
 
Washabiki wenzangu hivi munajua kuwa Mathematically sisi tupo nafasi ya 6?

Sasa subiri Everton ashinde kiporo kimoja tu kati ya Viporo vyake Viwili.
Na Spurs ashinde kiporo chake kimoja.

Sasa katika hizo Timu 6, mbili kati yao Man City na United lazima zimalize wa kwanza na wapili, nafasi za kugombea Top Four zimebakia mbili tu Yani 3 na 4.

Sasa kwenye nafasi hizi za 3 na 4 wafuatao ndiyo wanazitaka:-

Leicester
Everton
Spurs
Liverpool
Chelsea
Arsenal

Timu 6 hizo wanazitolea macho nafasi ya 3 na 4 unadhani hapo tutamshusha nani?

Kazi tunayo.
Mashabiki wa Man u tuna balaaa
 
Mim binafsi naamin title contenders mpaka sasa ni

Liverpool na man city

Full stop

Swala la utd kubeba EPL ,akili inakataa kabisa ,
Liverpool hii hii inayo struggle kuwafunga Fulham, West Bromwich, Newcastle, Southampton, Burnley, Brighton bado unaiweka kwenye Title Race Mkuu ,Timu inayochezesha Midfield CB Liverpool hata Top 4 kuipata itakuwa mbinde.

AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGU.
 
Pamoja na yote ,ukiangalia vizur kwa jicho la tatu ,Liverpool bado wanacheza kibingwa ,ukilinganisha na mbinu za kocha mzoefu klop

Harafu ile table ilivo sio ya kujivunia et uko top ,never

Liverpool wanakosa kitu kidogo tu finishing ,kuhusu kutengeneza nafasi bado wapo vizur .

Timu bado ina sprit ya ubingwa ,team yeyote kuna muda mpira unawakataa kabisa ,then wanarudi kwenye form
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom