Sawa mwenyekiti, tumekusikia‘Usipkuwa na team wkt inafanya vibaya,usitushangilie wkt team inafanya vizuri-Bill Shanky’
Liverpool HALISI Klopp kajenga dyanasty kiasi kwamba team ikifungwa huwa gumzo la dunia,wkt team yetu ilipokuwa laughing stocks tulikuwa hatuchekwi tukipoteza
Nawaomba tu Liverpool HALISI tuwe pamoja na team,tuwaachie hawa fakers waendelee kuitukana team
Pamoja tunaweza!
Klopp mwenyewe analialia huko anasema anaongelea usajili kila siku na uongozi ila sasa pesa hatoi yeye wala hana mamlaka ya mwisho juu ya pesa za usajili yeye anaishia kwenye ushauri tu... Ukiona Klopp anasema hayo ndio ujue ndani kimenuka hapumui na sera mbovu za FSG.... Ni ujumbe sahihi kwani bado muda upo wa kumsapoti sokoni...Sawa mwenyekiti, tumekusikia
Klopp mwenyewe analialia huko anasema anaongelea usajili kila siku na uongozi ila sasa pesa hatoi yeye wala hana mamlaka ya mwisho juu ya pesa za usajili yeye anaishia kwenye ushauri tu... Ukiona Klopp anasema hayo ndio ujue ndani kimenuka hapumui na sera mbovu za FSG.... Ni ujumbe sahihi kwani bado muda upo wa kumsapoti sokoni...
Msomeni humu.. 👇 👇
![]()
Jurgen Klopp: Liverpool boss seeks response against Man Utd after 'low point' of Burnley defeat
Liverpools 68-game unbeaten run at home in the Premier League was ended by Burnley in midweek; Jurgen Klopps side have failed to score in their last four league games; Klopp says speculation over Mohamed Salahs future is not a distractionwww.skysports.com
YNWA
Karibuni sasa OT

Hapana...nawakaribisha tu kiroho safiMumetuona hatupo vizuri ndiyo munaanza kujiamini sio?
Hapana...nawakaribisha tu kiroho safi
Leo tupo uwanjani tuzidi kushikama Liverpool HALISI tuwaache hawa Liverpool MASLAHI wawatukane wachezaji

Mkuu kuliko man city abebe bora hata Leicester..kama sisi Chelsea tukishindwa basi abebe Man u tu ..au unasemaje hahahaUnataka msaada kutoka kwetu,Pambaneni wenyewe sina mna timu ya kuchukua Ubingwa.

Sisi tunataka Man city afe ili ninyi muwe mabingwa.Nyie msimu uliopita mbona mulikuwa munaomba tuwapigie Man city?
Piga hizi kuku saivi zina kideri na mafua ..maana najua nyie ni wateja wetu tuHumu ndani leo nataka nitembeze kichapo mpaka mucheuwe.
EPL si ulibana mapaja?
Jaribu tena na leo huo upuuzi wako kama sijachana kichupi chenyewe hicho.

Wewe ni liverpool mfata upepo ..haupo kwa MASLAHI wala HALISILeo tupo uwanjani tuzidi kushikama Liverpool HALISI tuwaache hawa Liverpool MASLAHI wawatukane wachezaji

So sad kaka Klopp ni bonge la kocha aisee mpaka ukiona anasema laivu bila chenga ndio ujue amechoka na kabla meli haijazama tukajikuta kushiriki Europa msimu ujao amenena mapema kusudi lawama mwisho wa siku ziwe kwa FSG...Tena analialia hadharani kuwa kaomba CB kaambiwa hakuna hela.
Inaonesha Klopp hataki tena kufanywa mbuzi wa kafara na matajiri.
Matajiri walikuwa wanagoma kutoa hela then lawama zote za usajili anabeba Klopp wao wanabaki safe, but marahii Klopp kaona bora awaweke wazi FSG kuwa ndiyo wanaokwamisha usajili.
Lakini nimehisi kugundua kitu kwenye hili! Kitendo cha Klopp kuwasema wazi FSG ni dalili ya Klopp kuwachoka hawa jamaa na ni dalili ya kufika hatima ya kufanyanao kazi.
Hahaha kama noma iwe noma lol... Klopp kaona akaa kila press interview anabanwa yeye na mambo ya usajili akaamua kuweka mambo wazi...Bora mbaya wetu kamulikwa wazi hadharani
Upepo umekata ndugu...Wakuu kwema.
Naona upepo haupo kabisa upande wetu week hizi shida ninj? Captain Marvelous