Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

No, Bora Man City na Leicester watupige za kutosha tu then Waliobakia tutoe sare.
Sisi kama hatuna uwezo haina haja ya kuwaharibia walio na uwezo.
Kama sisi tukishindwa kubeba hii ligi basi bora man u abebe ..kwa iyo mpigeni Leicester na man city izo nyingine Towa droo
 
Mimi naamini bado mapema kukata tamaa kwa ligi ilipo japo kiukweli klopp anahitaji kubadilika maana kwa mfumo huu anaoutumia hata akinunua cb naamini tutapigwa tu....maana naona Kama wapinzani washatujulia kila kitu.
NAOMBA NIWE WA MWISHO KUAMINI KUWA TUMESHATOKA KWENYE MBIO UBINGWA AN NI MSIMAMO WANGU SO SIO LAZIMA UWE MSIMAMO WA WENGINE.TUPAMBANE HADI PUMZI YA MWISHO.
NB:HAWA FSG WANGESE SANA YANI HADI KOCHA ANATOKA KULIALIA HADHARANI WENYEWE WAPO WAMEWEKA KENDE ZAO KIMYA.

Sent from my M1 Lite using JamiiForums mobile app
 
‘Usipkuwa na team wkt inafanya vibaya,usitushangilie wkt team inafanya vizuri-Bill Shanky’
Liverpool HALISI Klopp kajenga dyanasty kiasi kwamba team ikifungwa huwa gumzo la dunia,wkt team yetu ilipokuwa laughing stocks tulikuwa hatuchekwi tukipoteza

Nawaomba tu Liverpool HALISI tuwe pamoja na team,tuwaachie hawa fakers waendelee kuitukana team
Pamoja tunaweza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom