Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha, hata tukimlaumu hairudishi points tulizo poteza.

Acha ajifunze, maana anawalegezea sana matajiri. Anatakiwa akomae nao kumpa watu.
Anakula nao so lazima afanye sugar coating za kutoshwa kibarua kisije ota nyasi... Ubaya kajikuta katikati ya kiza... Kweli ana issues za CB but je kule mbele?

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kule mbele matatizo ni makubwa zaidi, Firmino ameisha, Salah anatafuta mkataba mpya kwa hiyo anafanya kutengeneza statistics nzuri kitu kinacholeta uchoyo, Mane ukijumlisha kwamba ana hasira na Salah pia concentration imepungua.

Ukijumlisha na Mids tulizo nazo ndo mchanganyo unazidi.
 
Kweli kwa hali ilivyo ni kubaki Liverpool halisi mpaka mambo yatakapojisort yenyewe as sioni mkisajili watu kama watu hivi

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…