Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hadi game inaisha manager wa saton analia

Hakuamin kilicho tokea


Kuchukua Point 3 mbele ya Liverpool aliona Kama muujiza

Sisi City tunakuja kumbomoa Liverpool pale anfield

Hii Ni Kama manure atashindwa
 
Watu wanasahau kuwa tokea mwaka 2020 uanze points alizokusanya United kwenye EPL ni something else..wanajisahaulisha na huku wao wakiendelea kupoteza points tu..2 points kwenye last 3 epl matches ndo mlichovuna

Mlisema hamfungwi na timu iliyopo top ten..iko wapi sasa hiyo jeuri?

Hata hapo Anfield its just a matter of time mtatoboka soon..
Most likely huu ubingwa akachukua Guardiola

Zifunge timu kubwa kwa ndogo sio ndogo tu ndio labda uchukue ubingwa

Msimu huu Spurs anawafunga nje ndani, Round ya pili Emirates stadium hamshindi ,Chelsea pia sidhani kama mtamfunga msimu huu
 
Ukifanya analysis ya timu moja kwa game 17 za mwanzo last season na season hii, ni Manchester United peke yake ambaye anakuwa na +.

City anabaki alipo (assuming viporo vyake ameshinda)

1. Liverpool: 49 kwa 33: -16

2. Leicester: 39 kwa 29: -10

3. Manchester City: 35 kwa 35 (assuming viporo ni ushindi): 0

4. Chelsea: 29 kwa 26: -3

5. Spurs: 26 kwa 26: 0

6. Manchester United: 25 kwa 36 (kama akishinda kiporo chake): +11.

Doesn't this tell you something?

With that look, ni kwamba Liverpool amedrop sana.

Man Utd yuko on the massive plus. City yuko alipokuwa mwaka jana.

Ndo maana nikasema, bado timu ziko pale pale isipokuwa Liverpool kashuka sana.
Veey interesting to be fact... Wachezaji wengi wa liverpool wamechoka kimwili na kiakili weka majeruhi n.k... Kimbia kimbia non stop ya misimu mitatu mfululizo si mchezo.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Game ya jana Soton walikuwa wazuri kutuzidi.

Hicho ndicho nachoweza kusema.

Safari bado ni ndefu ila msimu huu sioni matumaini, labda hii loss ilazimishe aletwe beki ili Fabinho arudi kiungo.
Yaah kaka kufungwa kunauma sema labda inaweza kumshtua kocha na uongozi. Hope matokeo mabovu yalete sababu ya sajili mzuri
 
Veey interesting to be fact... Wachezaji wengi wa liverpool wamechoka kimwili na kiakili weka majeruhi n.k... Kimbia kimbia non stop ya misimu mitatu mfululizo si mchezo.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app

Alex Ferguson alikuwa master wa hii kitu, hata kama timu inachukua ubingwa lazima asajili impactful players.

Kuchanganya walioshiba na wenye njaa. Sisi tuli-opt kuendelea na walioshiba tupu, tena Jota aliyeonekana kurudisha uhai tukamtumia isivyo ili tu asiwaguse watoto pendwa.

That day Jota alipoumia nilisema humu kwamba tutaikumbuka hii siku.
 
Most likely huu ubingwa akachukua Guardiola

Zifunge timu kubwa kwa ndogo sio ndogo tu ndio labda uchukue ubingwa

Msimu huu Spurs anawafunga nje ndani, Round ya pili Emirates stadium hamshindi ,Chelsea pia sidhani kama mtamfunga msimu huu
Msimu huu kwenye EPL kumetokea ushindani wa hali ya Juu Sana. Hakuna mwenye uhakika wa ushindi hadi sasa.

Bora Arsenal yetu, gari limewaka huku wengine wakiishiwa pumzi 💪💪
 
Leo utaongea mpaka kihaya.
Winter has come.

To remind you, winter period is twice as long as summer.

I doubt whether we will still be on the throne by the time winter is over.

Winter came too early, we were not prepared for it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom