Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
oooh sawa nimekumbuka nilikosea
Man Utd ana kiporo cha Burnley, City nadhani kiporo chake ni cha Astonvilla, na hiki kilichoongezeka cha Everton.
oooh sawa nimekumbuka nilikosea
Maisha yanabadilika sana.Man Utd ana kiporo cha Burnley, City nadhani kiporo chake ni cha Astonvilla, na hiki kilichoongezeka cha Everton.
Maisha yanabadilika sana.
Muda kama huu msimu uliopita tayar ligi imeisha mapema tu.
Mechi zikilingana na hawa wa juu washinde zote..ligi itakua na ladha!
Viporo vinakera sana mana unajiaminisha kama liverpool kua uko juu kumbe mwingine ana mechi 2 mkononi na anazidi kushinda.
Sasa msimu huu eti nae Aston Villa yuko serius kuhusu kombe!Huu msimu naona dalili za kulikosa kombe kwa kukimbiza upepo kama ilivyokuwa 2018/19 dhidi ya City.
Unakaa juu, unazembea watu wanapita ndo akili inakuja.
Nakumbuka baada ya kupitwa na City hatukutoa sare hata moja, zote ilikuwa ushindi.
Acha kuropoka weweee!Na kiporo cha Man City ni Man U
Man Utd ana kiporo cha Burnley, City nadhani kiporo chake ni cha Astonvilla, na hiki kilichoongezeka cha Everton.
Ndio maana me nawashangaeni munao muomuogopa Man city.
City ana viporo vigumu vitupu.
Apo kwa Evaton hakatizi, mungu mmoja.
Siyo muda mrefu nyie mtarudi kwenye namba zenu, pigeni makelele mida hii.
Mkuu Don Clericuzio ukweli ni kwamba Manchester City na Manchester United ndio competitor wetu aisee hawa Chelsea na wengine nafasi zao zitaanza kuonekana soon..
YNWA
.Namuamini Kloo kwenye Game kubwa Anajua kuzicheza vizuri karataKlopp Atakua na muda wa kutosha kukaa nao baada ya gemu ya kesho na baada ya gemu ya Aston Villa ngoja tuwe na subira ndugu...
Hao RB sio powa kabisa itabidi tupambane sana maana gemu ya kwanza ni kwao tarehe 16/2/2021 na marudiano Anfield tarehe 10/3/21.
YNWA
Eti tutatokaje kwa Soton!Mwizi tusha mkamata kilicho baki ni kumkwara kila kilicho chetu.
Kesho kwa Soton sioni munatokaje.
Jamaa ana wachezaji wake na mfumo wake hapangiwi.Mkuu unajua haya mambo ya hiki kiwango yalianza kuonekana February 2020 kama unakumbuka vyema hata kabka ya gemu ya UCL vs AT na hata kabla ya kipigo tulichopata dhidi ya Watford dalili ilikua we were heading south big time...
Kipindi kile tulisema we dont care winning ugly as long as we get the jon done and gets the 3 points...
Mzunguko wa kwanza msimu uliopita we were brutal, lethal and accurate na tulijikusanyia pointi za kutosha mno kiasi the chasers were seeing dust sisi haoooooo kunasa la 19 EPL...
Msimu huu sasa we have been caught pants down kwa kweli.. Tazama tulivyo tumecheza gemu 16 EPL..
Tumeshinda gemu 9
Tumepoteza gemu 1
Tumedraw gemu 5
Summarising the above scenario i can honestly say we are in a crisis... Big one..
We have a weak squad especially at the back where by our usual dependables aint go be there for long...
We have a toothless MF who can't provide goals or assist when our usual creators are tamed...
We all know Lbs and RBs in our team are the chief architect for scoring opportunities.. Be its corners of which we have been poor without VVD we ain't converting them to goals or dead balls situation whereby its either Robbo or TAA and they have been poor also in that spot...
Honestly Klopp must be scratching his head big time as the rare chances we are getting aint being conveted to goals..
Now going forward without Jota whats to do..
.. Should Klopp drop one of his mjaor boys for Takumi?
.. Should Klopp keep faith in them as he done with Firmino and at last he scored..
.. Should we enter the market...
.. Should we reshape from 4 3 3 to anonther sytem perhaps with Thiago/Keita/Gini playing as a 8..perhaps
3 4 2 1
4 4 2
4 2 3 1
Ama nini kifanyike ndugu zangu...
YNWA
Eti tutatokaje kwa Soton!
Yaani unamzungumzia bingwa mtetezi kama unavyoizungumzia timu ambayo ndo imepanda daraja!
Haya bana, sasa hivi uwanja wa kupiga domo ni wa kwenu.
Siwachukulii poa wako vizuri kiasi chake..Mkuu Manchester United sio wa kuwachukulia powa...
They lack the experience sustaining the pressure at the top since for long they haven't been in this good phase..
They now believe they are contenders and that is transpiring kwenye matokeo uwanjani i guess ndio timu yenye ushindi zaidi ya gemu10 kwenye losing position in 2020.. That shows the fighting spirit in the team... Ole has done its as player na ana experience he can share to his young team to keep cool heads..
We are still the favourite man..
We win our games and we are sorted regardless of whats others are doing..
YNWA
Mkuu kwa kuangalia mpira sawa ila ukitazama data zao zinaonyesha winning kwa 2020 performance yao ipo juu yetu na wameonyesha kuonyesha resilience, character n instant decision making whats its matters...Man city ndio mshindani wetu,huyo United mashabiki wanapiga tu kelele hawana lolote hao.kelele za mashabiki zisikutishe.
Wako kama timu zingine nilizowahi kuongoza ligi ,wakasema tunachukua kombe.
Wataanza kupoteana tutakapo washushia kipigo kwenye Mechi yetu . Hapo ndio watajiona hawawezi.