Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Leo usiku kuna vilio na kusaga Meno
Saton hatawaacha salama
Saton hatawaacha salama
Watu wanaichukulia poa Sana LiverpoolEti tutatokaje kwa Soton!
Yaani unamzungumzia bingwa mtetezi kama unavyoizungumzia timu ambayo ndo imepanda daraja!
Haya bana, sasa hivi uwanja wa kupiga domo ni wa kwenu.
hapo ndo ujinga unakuja Kabisa ndugu mwenye wachezaji wenye utayari wa kupambana kwa ajili ya pointi 3 na si kingine basi huyo ubingwa wake hakuna namna...Siwachukulii poa wako vizuri kiasi chake..
Lakini Umefikiria pia kwamba Yani Manure achukue ubingwa mbele ya Man city hii! bado kuna balaa lao linakuja juu pale kama kawaida.
Mi nimefikiria msimu huu timu mwenye kikosi kipana atachukua ubingwa plus experience (kuhimili presha ya kuwa juu pale)
Still bado timu za ubingwa ni mbili tu
Liverpool na Man City..hakuna mapya .
View attachment 1667076
Mpira kwenye nimeamini una bahati zake ndugu maana hao unaosema wachezaji wake japo wametupa ubingwa lakini naamini benchi la Manchester City, Barcelona ama Real hawawezi kuliona..Jamaa ana wachezaji wake na mfumo wake hapangiwi.
Alishakwama Lijinder ndo kamrudisha kwenye reli naona asaivi kiburi kimerudi tena ngoja tuporomoke.
Mmh Ole kuhimili presha za Pep?Kabisa ndugu mwenye wachezaji wenye utayari wa kupambana kwa ajili ya pointi 3 na si kingine basi huyo ubingwa wake hakuna namna...
Kwenye mpira hua sipuuzi timu yotote na sana sana EPL ina matokeo ya kutisha na muda usiyotarajia Norwich alimpiga Manchester City huku Watford akikuchapa safi kwake... Hii ndio EPL haina matokeo ya mfukoni...
La kuhimili presha Ole anaweza kuwa guide vijana wake kwa vile he has done that as a player.. Hii sisi tuliikosa wakati wa 2014 Rodgers hakuweza kusimama vyema kuwatuliza vijana na ku guide kwenye presha...
YNWA

Kama kipindi kile Leicester city sio? 😀Man city ndio mshindani wetu,huyo United mashabiki wanapiga tu kelele hawana lolote hao.kelele za mashabiki zisikutishe.
Wako kama timu zingine nilizowahi kuongoza ligi ,wakasema tunachukua kombe.
Wataanza kupoteana tutakapo washushia kipigo kwenye Mechi yetu . Hapo ndio watajiona hawawezi.
Kila jambo la mwanzo kama ambavyo na sisi tulihimili presha za Pep kwanza tulkwenda nae jino kwa jino mpaka gemu ya mwisho msimu wa 2018 2019 na akatupiga KO kwa pointi moja... Msimu uliopita tukawa moto sana hakusogea hata kwenye kuuwaza ubingwa..Mmh Ole kuhimili presha za Pep?
Sawa maajabu yanatokea lakini wachunguze vizuri Man city alaf angalia na upepo ulivyo msimu huu ..
Mfano mwezi huu tu mpaka wa pili mwanzoni,
Game za Man City na Man U.
View attachment 1667168View attachment 1667169
Sasa presha kwa Liverpool .....
Leo ndio mtajua kua hamjui.Leo Afe Punda livunjike Toroli lakini Mzigo ufike, Lazima Tushinde vinginevyo ni kilio
Kesho ukiingia humu unakutana na ngeli ile ya Oxford University.Saton leo ana jambo Lake humu ndani
Baada ya mechi 3 za Mwanzo
- Washabiki wa Arsenal walipitia kila Uzi na kujitangazia kua mwaka huu ni Jino kwa Jino kwenye Title Contender.
Baadaa ya Mechi 7 za mwanzo:
- Washabiki wa Arsenal Wanapigania kutoingia Kwenye Relegation zone huku wakijipiga self Ban.
- Washabiki wa Chelsea walihamia hapa kujitangazia Ubingwa huku wakirandaranda kila Uzi kunadi wanamtaka Bayern.
Baada ya Mechi 14 za mwanzo:
- Washabiki wa Chelsea wajipiga self Ban huku wakililia uhai wa Lampard wamalizane nae huku Wanapigania angalau waingie Top 4.
- Manchester United wanapita kila Uzi na kuanza kujitangazia Ubingwa.
Kinachojitokeza:
- Wote wanahangaika kupambana na Liverpool lakini wanadondoka wao.
Episode itaendelea .................
Sasa presha kwa Liverpool .....
Mnajofariji Sana ila bàadae mtatukana humu mkiongea kiingereza chenu cha buzaLiver hatunaga pressure kwani siku hizi pressure ilikuwa ule msimu wa 2018/2019 tulivyokuwa tunakimbizana na city kwenye ubingwa

