Sio kwa Liva hii game 3 inapata goli 1Mashabiki wa Manyumbu hawajawahi kuongoza ligi sasa wako tu juu hapo tayari wanajiona wameshachukua ubingwa,kiuhalisia bado sana.
Maana hapo bado man city kukaa juu hapo,Baada ya hapo mechi zitakuwa zimebaki chache,lakini sio sasa hivi ukae juu hapo useme nachukua ubingwa Safari,hapo hapana kabisa.mashabiki wa Manyumbu ilo hwalijui,muda utawahambia
Unashindwa kupata point kwa Newcastle una ubora gani sasaMm naona man u hana ubora wahivo ila anajikongoja katikati ya wabovu sio mdaa round ya pili watalijua hilii
Rekodi inasema hivyo na ndio ukweli ndugu...Mkuu msimu huu tukiwa ugenini huakika wa ushindi ni mdogo sana,tukiwa nyumbani tunacheza vizuri sana.ni game na west bro.ndio tulizingua game zote ushindi tulizokuwa nyumbani.
Rekodi inasema hivyo na ndio ukweli ndugu...
Ni ngumu kutoa sare ugenini ama vipigo aafu tushinde za nyumbani na ifike Mei tuwe bingwa haiwezekani ndugu...
YNWA
Nilishawaambia Man U ni marufuku kumtimua Ole Guna maana timu ya Man U haina chemistry lkn inapata matokeo mazuri/nyota ya ubingwa iko kwa Ole Guna.Napo waambia United ni [emoji91] nieleweke huyo Southampton mm nimemfanyia come back ya hatari akafa 3-2 liva kuku katiwa kimoko hoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Taratibu Mzee Baba, mbona sisi Chelsea tunamvumilia Lampard tukiwa tumewaazima washabiki wa Arse8 vifua vya uvumilivu ili tujiandae kwa ubora kuanzia 2022 ila si 2021?Klopp out
Thiago ni ashine nzuri sana kuliko KDB wa Man City na K havertz wa Chelsea ndiyomaana tulimnunua Liverpool FC atuwezeshe makombe ya EPL, UEFA n.k.
Haha hahaaaaa....kwamba mmepigwa kama Chelsea tulivyopigwa kwa Havertz?
.Leo hata Shetani tutamvalisha Jezi aingie uwanjani lakini lazima tushinde
Game 3 una point 2 na goli moja halafu bado unajiita title contender!
Msimu uliopita top 4 wengi walikuwa hoi bin dhoofu ndio maana mkachukua ubingwa kwa style.
Klopp anawakimbiza wachezaji kama farasi wala hakuna ufundi wa kujivunia,siku hizi timu nyingi haziwaogopi ndio maana mnagawana point hadi na westbrowich.
Point ya kulalia usiku huu,first shot on target imepatikana dakika ya 73!
Mjifunze kwa dortmund msiwe wajinga
Klopp; "Manchester United had more penalties in two years than me in five and a half years- But [we have] no Excuse for tonight "
Haya ni maneno ya mkosaji .
DahMpaka mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi yenu ya tatu.
Kesho muna pasuka kwa Soton na kutupisha nafasi ya kwanza.