Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Yani nilichogundua Leo ni kwamba liverpool tungekuwa kila mechi tunatoka na goli 3 au 4+ sema wakati mwingine strikers wetu huwa wanazingua sana tu
Hata mahojiano ya Leo klopp Kasema hana shida na "" interview ya AS na salahUkitazama hayo maneno ni tofauti na Story inavyokuwa exaggerated as If Salah aligombana na Klopp wakati alieleza tu hisia kuwa alitamani kuwa Captain.
Wanakoswakoswa kweli hapa..Iwapo leo Pep atadraw tu mbona Amani itatawala
Haha mkuu kwa hio Salah awe anaanzia benchi anakuta watu washelegea anakuja kumalizia ama..Yani nilichogundua Leo ni kwamba liverpool tungekuwa kila mechi tunatoka na goli 3 au 4+ sema wakati mwingine strikers wetu huwa wanazingua sana tu
Hahaha huyu Palace unamsahau alimtoa Surez machozi mwaka 2014 lol...Kuna kitu najiuliza hapa, hivi hawa wachezaji wa liverpool wangeshinda goli 2 au 3 tu tusingelipata points 3?
Hahah sure umenikumbusha ishu ya Buvac.Mkuu ipo hivi Liverpool ni timu moja ambayo kupata taarifa zake za ndani hua ngumu sana hivyo kinachofanyika muda mwingi ni guess work za hapa na pale yaani zinakua sio verified....
Klopp hata twitter nadhani hayupo...
Sasa ma pundit uchwara wao husoma zaidi matukio ya hapa na pale.. Kwa mfano gemi ijayo Mane akianzia benci watasema kwa vile alionyesha chuki wakati anapewa sub bla bla...
Chini ya Klopp tupo vizuri sana hata wachezaji wakiongea huko yeye wala anatazama output uwanjani na si kingine..
Klopp hapangiwi...
YNWA
Hahaha Buvac mpaka leo hakuna mwenye taarifa nini kilifanya aachane na ujira Liverpool...Hahah sure umenikumbusha ishu ya Buvac.
Aisee nimekubali Klop hapo hapo maneno maneno avutie fegi tu , goma lisonge.Hahaha Buvac mpaka leo hakuna mwenye taarifa nini kilifanya aachane na ujira Liverpool...
YNWA
Yaani short on target yote 7 ni magoli
, kweli Kipa alikuwa AdrianHii kweli aiseeeeeHaha mkuu kwa hio Salah awe anaanzia benchi anakuta watu washelegea anakuja kumalizia ama..
YNWA
This German Nazi muzee is a press genius..Aisee nimekubali Klop hapo hapo maneno maneno avutie fegi tu , goma lisonge.
Yani nilichogundua Leo ni kwamba liverpool tungekuwa kila mechi tunatoka na goli 3 au 4+ sema wakati mwingine strikers wetu huwa wanazingua sana tu
Nex games ni
Vs Westbrom 27/12/20 home
Vs Newcastle 30/12/20 away
Vs Southampton 04/01/21 away
Vs Manchester United 17/01/21 home
YNWA
Hivi Arsenal huyu kocha wa Soton hawakumuona maana ni bonge la kocha...Hapo namuhofia Soton tu
Teh teh teh Salah bhana eti ka mind kunyimwa ucaptain ile mechi ya mwisho UCL haha...
Na pia akasema wakija Real Madrid ama Barcelona atawasililiza haha huyu naona hamjui Klopp vyema amuulize Emre Can ama Lewandowski ataelewa kwa nini Klopp hapangiwi...
YNWA










































