computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033





nikitaka kijiunga kuwa fan wa Liverpool kuna kiingilio?




nikitaka kijiunga kuwa fan wa Liverpool kuna kiingilio?
Tazama Express kaka nitaangalia pia kama ni huko ...Check check nasi tukajisomee tujue moja..
Kuna muda nikasema pengine jezi zimefanana hawaonaniTunapoteza mipira kizembe sana
Whaaat?!!Teh teh teh Salah bhana eti ka mind kunyimwa ucaptain ile mechi ya mwisho UCL haha...
Na pia akasema wakija Real Madrid ama Barcelona atawasililiza haha huyu naona hamjui Klopp vyema amuulize Emre Can ama Lewandowski ataelewa kwa nini Klopp hapangiwi...
YNWA
Exactly kaka na ukumbuke pia back line has been changing kila mechi na hio nalo shinda...I think UEFA games in between weeks were so consuming, mind you most of the opponents who we drew with were at rest mid-weeks.
The schedule now eats all of us.
Hamna karibu sana mjukuu wa Wengernikitaka kijiunga kuwa fan wa Liverpool kuna kiingilio?
nikitaka kijiunga kuwa fan wa Liverpool kuna kiingilio?