Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Ollachuga na Genge lake la Chelsea walikuwa na kiherehere kipindi kile walipoongoza Ligi kwa masaa 24 tu, baada ya Everton kuwarudisha wanapopaswa kuwepo akili imewakaa sawa.
Wewe jamaa kwa siku chache nilizokuona hapa jukwaani nimeamini bila Shaka yoyote kwamba wewe ni mzaramo. Si kwa mineno hiyo😀😀😀
 
Thanks buddy ... kwakweli kuwa at the top huu msimu wa krismasi ni jambo la heri....all in all mfumo wa klopp jinsi anavyo wafanyia diversification wachezaji hakika nimeona umuhimu wake.. Mungu ibariki liverpool .. Mungu tubariki wana liverpool wote
Sure kabisaaa....

Tumetuma ujumbe murwa wa kutosha EPL na UCL...

West Brom haha wamemuajiri mbishi Big Sam kazi ipo na anakuja nyumbani....

Big Sam ndio kocha wa mwisho kutufunga Anfield EPL nadhani akiwa na hawa Crystal Palace mwaka 2017...

Anakuja sasa kivingine...

We are ready bring the Baggies...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom