Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimeiona hiyo taarifa ESPN, ni kama anaonesha ametuchoka.

Anafanya invitation kwa Barca na Madrid kum-approach.
Haha atajiju Liverpool hii sio ile ya one man show...

We are past that era to be held at ransom by the players...

Even without him in the field we are winning that he will sleep knowing he is as important as the other boys...

Pazuri amesema hata kuongeza mkataba he is open to that if he is offered a new contract ...

Lakini kingine ni kwamba he is 28 and on peak at his age joining those Spanish giants make sense kutafuta new challenge...

Uzuri Edwards already kasha point replacement hivyo hakuna noma..

Every player has a price..

He has been a loyal servant so no hard feelings whatsoever whatever he decide in the future...

YNWA
 
Match moja mmeshaanza kuvimba na kumzalau salah

Subilin kiiama chaja
 
Adjustments.jpg
 
DullyJr na Aaron Arsenal huyu Mikel anakowapeleka sio kabisa..

Poleni sana..

Inanikumbusha tulipokua kuanzia 2010 mpaka 2013 hivi yaaani..

All the best pakuanzia huyu Mikel ni kuodoka soon the bookies wataweka mzigo kwake kama next on the firing line..

Kinachombakisha ni kwa vile ni home boy na FA plus Community shield trophy...

He has lost the team...

Ndio shinda ya kuajiri raw manager alifaa aanzie mchangani hukoo Arsenal is tooo big for him...

YNWA
 
Haha atajiju Liverpool hii sio ile ya one man show...

We are past that era to be held at ransom by the players...

Even without him in the field we are winning that he will sleep knowing he is as important as the other boys...

Pazuri amesema hata kuongeza mkataba he is open to that if he is offered a new contract ...

Lakini kingine ni kwamba he is 28 and on peak at his age joining those Spanish giants make sense kutafuta new challenge...

Uzuri Edwards already kasha point replacement hivyo hakuna noma..

Every player has a price..

He has been a loyal servant so no hard feelings whatsoever whatever he decide in the future...

YNWA

Anatujaribu huyo, nimeshangaa ile mentality aisee.

He is becoming arrogant.

Kama ulivyosema, hakuna mchezaji sasa hivi wa kututetemesha sana.

Mimi namwombea Mane apate timu kubwa pia. Namkubali jamaa ila sioni kama anapata heshima anayostahili Liverpool.
 
Klopp on Mane reaction...

He was not angry because Mo came on, he was not happy because maybe he didn’t stay on the pitch until after the free-kick," he said. "You cannot play football like this if you are just a soldier and do everything what the bosses say, they do what I say, but they are human beings and react in a specific way. After the game Sadio was completely fine, it’s all good.”

Klopp the Legend.. Case closed its all good

YNWA

Hii front 3 kuna kitu hatuambiwi, ila tutakijua tu maana muda haudanganyi.
 
Anatujaribu huyo, nimeshangaa ile mentality aisee.

He is becoming arrogant.

Kama ulivyosema, hakuna mchezaji sasa hivi wa kututetemesha sana.

Mimi namwombea Mane apate timu kubwa pia. Namkubali jamaa ila sioni kama anapata heshima anayostahili Liverpool.
Mane is one of fittest forward in the world and also most dangerous yupo kwenye top 7..he has many suitors.. He works really hard to maintain this form..

Mane ni workhorse very rare kuwapata siku hizi...

He is the very passionate when on song.. Alikua na dry spell ya kutofunga gemu 7 hivi kabla ya jana.. Ndio maana kwa vile ni binadamu hakufurahia kutolewa pale alishaona taa imewaka ana goli kadhaa pale ila sasa personal accolades kwetu kipindi hiki hatuna muda nazo we need to guard this boys from fatigue and injuries that why Klopp sanctioned the sub as a precaution to having fresh legs for the coming fixtures ..

The reason Bobby is Klopp favourite ni his maturity and cool head... Bobby hata awe na form ipi Klopp akisema atolewe dogo wala hanuni wala nini hua anatoka all smiling anajua his day will come and others need chances...

Salah and Mane are after the Golden Boot ndio maana wanahitaji as many minutes as they can to score and score..

Klopp says its all okay haha.. Huyu mzee hapo tu ndio ananifurahisha muzee wa kupotezeaa...

YNWA
 
Klopp on Mane reaction...

He was not angry because Mo came on, he was not happy because maybe he didn’t stay on the pitch until after the free-kick," he said. "You cannot play football like this if you are just a soldier and do everything what the bosses say, they do what I say, but they are human beings and react in a specific way. After the game Sadio was completely fine, it’s all good.”

Klopp the Legend.. Case closed its all good

YNWA
 
Siku Ile na Spurs na jana..jinsi tunavyolala vizuri...hii timu ni dawa ya usingizi watu people...

Mimi bila hii timu nilikuwa silipii kifurushi DStv......

Siku hizi nalipa kifurushi bila kujali kabisa..

Hizi nyakati tutakuja kuzikumbuka sana huko baadae..
Beautiful ...so beautiful..
 
Mkuu mm mpaka niliamua kupandisha kifurushi kutoka 49 sasa hivi nalipa 89 halafu naona hela yangu inafanya kazi vzr kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom