Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

2nd goal.mane
1608384061406.gif
 
Enzi za Manure ya babu Fergie nilikuwa nachukia sana kuona timu zinakosa kutumia clear cut chances zao ku score, halafu unakuta out of nowhere Manure wana score.

This is what inatokea sasa kwa hii Liverpool ya Klopp. Nina uhakika fans wa Manure wanaumia kama nilivyokuwa naumia enzi hizo.

Payback time goddamn it!
 
Msimu ule wa 2018/2019 tuliongoza ligi kukawa na vibonzo vya Liverpool over the top of a league is like an elephant on top of the tree.

Sasa hivi akili zimewatulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom