Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Maybe, uelewa wangu ni kwamba tuzo inaangalia ulichafanya msimu unaozungumziwa.

Football World inashangaa mpaka sasa nini kimetumika kumpa Klopp badala ya jamaa.

Klopp mwenyewe alishangaa.

Bayern wameshinda vikombe 5 chini ya huyo kocha.

Kiushabiki, naweza sema sawa, ila kiuhalisia sidhani kama Klopp alistahili hii tuzo.
cha ajabu waliompa klop ni makocha na captains,..... yani wanaocheza mpira na wanaofanya hiyo kazi ndio wameona anastahili.......

nadhani uelewa wetu kuhusu soka pia unatofautiana, sijui wao wanaelewaje
 
Yes yes, all in all tayari amepokea tuzo.

Hizi tuzo hazijawahi kuwa smooth.

Imagine tu Alisson yuko kwenye kikosi Bora Cha FIFA, ila goalkeeper bora ni Neuer.
 
Ukitazama hayo maneno ni tofauti na Story inavyokuwa exaggerated as If Salah aligombana na Klopp wakati alieleza tu hisia kuwa alitamani kuwa Captain.
Mkuu ipo hivi Liverpool ni timu moja ambayo kupata taarifa zake za ndani hua ngumu sana hivyo kinachofanyika muda mwingi ni guess work za hapa na pale yaani zinakua sio verified....

Klopp hata twitter nadhani hayupo...

Sasa ma pundit uchwara wao husoma zaidi matukio ya hapa na pale.. Kwa mfano gemi ijayo Mane akianzia benci watasema kwa vile alionyesha chuki wakati anapewa sub bla bla...

Chini ya Klopp tupo vizuri sana hata wachezaji wakiongea huko yeye wala anatazama output uwanjani na si kingine..

Klopp hapangiwi...

YNWA
 
cha ajabu waliompa klop ni makocha na captains,..... yani wanaocheza mpira na wanaofanya hiyo kazi ndio wameona anastahili.......

nadhani uelewa wetu kuhusu soka pia unatofautiana, sijui wao wanaelewaje
Huwa wanaangalia vigezo vingi sana ....mimi na wewe kama shabiki tu tunaweza tusielewe hata kama tukieleweshwa
 
Mkuu ipo hivi Liverpool ni timu moja ambayo kupata taarifa zake za ndani hua ngumu sana hivyo kinachofanyika muda mwingi ni guess work za hapa na pale yaani zinakua sio verified....

Klopp hata twitter nadhani hayupo...

Sasa ma pundit uchwara wao husoma zaidi matukio ya hapa na pale.. Kwa mfano gemi ijayo Mane akianzia benci watasema kwa vile alionyesha chuki wakati anapewa sub bla bla...

Chini ya Klopp tupo vizuri sana hata wachezaji wakiongea huko yeye wala anatazama output uwanjani na si kingine..

Klopp hapangiwi...

YNWA

Na hapa ndiyo anapofeli Mourinho. Yani mchezaji wake akiongea tu basi yeye Kocha anayamwaga hadharani.
 
6th goal. salah
1608388710448.gif
 
I salute Klopp super gaffer he has turned this race around in 2 games..heading to Xmas top of the table...

This is super 🎄 present guys...

Kwa zile injuries tulizonazo na kufika hapa tukiwa kileleni jamani ni furaha tele kwa kweli...

Thanks Klopp, thanks the boys na mashabiki wote humu salute you..

kazi inakwenda powa kabisaa

YNWA
 
I salute Klopp super gaffer he has turned this race around in 2 games..heading to Xmas top of the table...

This is super present guys...

Kwa zile injuries tulizonazo na kufika hapa tukiwa kileleni jamani ni furaha tele kwa kweli...

Thanks Klopp, thanks the boys na mashabiki wote humu salute you..

kazi inakwenda powa kabisaa

YNWA
Thanks buddy ... kwakweli kuwa at the top huu msimu wa krismasi ni jambo la heri....all in all mfumo wa klopp jinsi anavyo wafanyia diversification wachezaji hakika nimeona umuhimu wake.. Mungu ibariki liverpool .. Mungu tubariki wana liverpool wote
 
Na hapa ndiyo anapofeli Mourinho. Yani mchezaji wake akiongea tu basi yeye Kocha anayamwaga hadharani.
Gini kashaongea sana kucheza hii style yetu ya MF haha ila Klopp wala hata muda nae hana...

Hendo kuna mechi nadhani Manchester United ugenini 2018 2019 alitolewa aka mind kweli kweli na huku alikua hana msimu powa kabisa basi ma pundits wa kasema this might be the end of his Liverpool career haha aaa Klopp huyoo kai punch hata kwenye press conference alisema hayo ni yake na wachezaji wake sio ya media...

Mourinho ni higj tempered hana subira wala hajui hawa wachezaji wanahitaji a fatherly figure..

Unakumbuka ishu ya Salah na Mane.. Klopp alivyoulizwa alijibu short am proud of my boys they are hungry to score and win ndio maana wanakua emotional haha..

Klopp the Faza..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom