Naona mnasahau miaka 29 bila eplHivi Wakuu haya maneno ya bila Salah tunacheza vizuri yamekaa aje kwamba kwa mfano wenye timu yao wakiamua kuuza kati ya Salah na Mane nani atangulie kuuzwa maana hakuna asiekua na bei...
Ukitazama kwa umakini utaona Mane kwa sasa ni bora atoe pasi kama anaona hajakaa kwenye nafasi bora ya kufunga lakini kwa Salah ni tofauti yeye hua ni kushot na kushuti ndio maana hata most shot anaongoza yeye je haya ni maelekezo ya Klopp ama kajiamulia mwenyewe...
Mane ni team player kwenye hili anazidi kukua na kupunguza 'ubinafsi'...
Salah ni mfungaji kwenye hili yupo makini ndio anaogoza EPL kwa sasa kama mfungaji bora meaning upo uwezekano wa kupata kiatu cha dhahabu kwake.. He is averaging 1 or 2 goals per game this season...
Mambo ni mengi ..
Ningependa wabakie wote ila kama mmoja lazima auzwe basi kwangu ningesema bye bye Salah...
YNWA
Dah kwa Salah mhm hapana aisee abaki tu na Mane abaki wote tunawahitaji sana tuHivi Wakuu haya maneno ya bila Salah tunacheza vizuri yamekaa aje kwamba kwa mfano wenye timu yao wakiamua kuuza kati ya Salah na Mane nani atangulie kuuzwa maana hakuna asiekua na bei...
Ukitazama kwa umakini utaona Mane kwa sasa ni bora atoe pasi kama anaona hajakaa kwenye nafasi bora ya kufunga lakini kwa Salah ni tofauti yeye hua ni kushot na kushuti ndio maana hata most shot anaongoza yeye je haya ni maelekezo ya Klopp ama kajiamulia mwenyewe...
Mane ni team player kwenye hili anazidi kukua na kupunguza 'ubinafsi'...
Salah ni mfungaji kwenye hili yupo makini ndio anaogoza EPL kwa sasa kama mfungaji bora meaning upo uwezekano wa kupata kiatu cha dhahabu kwake.. He is averaging 1 or 2 goals per game this season...
Mambo ni mengi ..
Ningependa wabakie wote ila kama mmoja lazima auzwe basi kwangu ningesema bye bye Salah...
YNWA
Hahahahaha Mkuu Pain Killer mchezaji pekee kwangu ambae sio disposable Liverpool ni Allison....Naona mnasahau miaka 29 bila epl
Salah mnaanza kumzalau sasa
Hivi nyie salah akiondoka mna mtu wa kuwapa gori 20+ kwa msimu mzima
Masikin akipata matako hulia mbwata
Edwards afanye kweli apewe mkataba na mshahara mnono 270 per week atakaa kimya huyu... Pesa sabuni ya roho ndugu..Dah kwa Salah mhm hapana aisee abaki tu na Mane abaki wote tunawahitaji sana tu
Hapo anatikisa kiberiti ili apate mkataba mnonoHahahahaha Mkuu Pain Killer mchezaji pekee kwangu ambae sio disposable Liverpool ni Allison....
Ogopa sana maneno ya wachezaji yasipokua controlled mapema.. Unaona Messi yanayowakuta pale Catalan yaani hakuna harmony tena klabuni...
Ninachokiona mimi Salah hawezi kujisemea tu na kuwataja Barcelona ama Real Madrid hivi hivi itakua under the carpet kuna contact na wakala wake...
Kuna mawili hapa Mkuu Pain Killer aidha kweli amedhamaria baada ya kuchukua EPL 2020 2021 atimke zake kutafuta challenge mpaya
Ama huu unakua design ile ya Ramos na Manchester United kutafuta mkataba mpya mnono haswaaaaa haha muda utasema...
Dogo chini ya Klopp ni world class usishangae anakokwenda akawa Coutinho mwingine....
YNWA
Ana haki kwa kweli umri haupo upande wake hivyo ni wakati sahihi apate mkataba mnono kabisaaa kwa magoli yake msimu huu Klabu haina namnaa watakwenda nae sawa...Hapo anatikisa kiberiti ili apate mkataba mnono
Lazima afanye hivo!
Yupo on fire
Duh, ile mechi hata mimi iliniumiza sana! Sijui kale ka kocha kaliendaga wapi "Tony Pulis". Ndiko kalikatisha ndoto za ubingwa za Liverpool msimu huo!!Hahaha huyu Palace unamsahau alimtoa Surez machozi mwaka 2014 lol...
Huyu hata angepigwa 10 powa tuuu...
Goal difference matters ndugu...
YNWA
Naona mnasahau miaka 29 bila epl
Salah mnaanza kumzalau sasa
Hivi nyie salah akiondoka mna mtu wa kuwapa gori 20+ kwa msimu mzima
Masikin akipata matako hulia mbwata


hamna tunadiscuss ikitokea maisha bila Salah, tunawezaje kuishi. By the way Salah ni world class player uwepo wake kwetu ni muhimu sana
.Duh, ile mechi hata mimi iliniumiza sana! Sijui kale ka kocha kaliendaga wapi "Tony Pulis". Ndiko kalikatisha ndoto za ubingwa za Liverpool msimu huo!!
Edwards huyu huyu ndio wa kuongeza mshahara atakuwa yupo anatafuta mbadala wakeEdwards afanye kweli apewe mkataba na mshahara mnono 270 per week atakaa kimya huyu... Pesa sabuni ya roho ndugu..
YNWA
Kwamba bila Salah hamna Liver acha mawazo mfu yeye ndo aishukuru Liver.Naona mnasahau miaka 29 bila epl
Salah mnaanza kumzalau sasa
Hivi nyie salah akiondoka mna mtu wa kuwapa gori 20+ kwa msimu mzima
Masikin akipata matako hulia mbwata
Hii ya kutoa mikataba kwa khofu ndo inayo pelkea baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango lazima tim iwe na mpango wake na uheshimiwe anaetaka zaidi aende akapo pata zaidi Man u tunawashuhudia na mishahara yao.Edwards afanye kweli apewe mkataba na mshahara mnono 270 per week atakaa kimya huyu... Pesa sabuni ya roho ndugu..
YNWA
Nipo upande wakeEdwards huyu huyu ndio wa kuongeza mshahara atakuwa yupo anatafuta mbadala wake
Mimi pia nalipia kwa moyo mweupe tena Compact PlusSiku Ile na Spurs na jana..jinsi tunavyolala vizuri...hii timu ni dawa ya usingizi watu people...
Mimi bila hii timu nilikuwa silipii kifurushi DStv......
Siku hizi nalipa kifurushi bila kujali kabisa..
Hizi nyakati tutakuja kuzikumbuka sana huko baadae..
Beautiful ...so beautiful..
Niliumia sana siku ile. Mpaka dakika ya 75 ilikuwa 3- 0. Mara kikaingia kijamaa kinaitwa Dwight Gayle (siku hizi kipo Newcastle). Dakika ya 85 ilikuwa 3- 2 nikazima TV na kwenda kulala maana nilikuwa ba uhakika lazima goli la 3 lingekuja tu. Ule msimu sitakuja kuusahau kamweDuh, ile mechi hata mimi iliniumiza sana! Sijui kale ka kocha kaliendaga wapi "Tony Pulis". Ndiko kalikatisha ndoto za ubingwa za Liverpool msimu huo!!