Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,143
Ndio maana nimesema umeanza kucheki soka Jana jk humjui bwana mdogo.We panzi bila shaka Klop umemfahamu alipofika Liverpool
Kaa wa kutulia na utulize tekno hiyo.
Uache kuroppka vitu ambavyo huvijui.
Jk aliipandisha daraja Mainz ,halafu akachukua kombe lao la df pockal.
Akaenda bvb,hapo kwa bajeti finyu kabisa akavunja utawala wa Bayern akabeba kombe la ligi na df pockal..
Akaenda UEFA huko akatoa dozi kwa vigogo kama Real Madrid ya cr 7 walikula vibano nje ndani, akaingia final na Bayern
Akafungwa mbili moja..kwa kikosi kile kile cha bei ya mkaa, no money..!
Halafu hakukaa sana akaenda Liverpool huku akaingia final EUROPE kama tatu akapoteza, akaunda kikosi upya.
Baada ya misimu mitatu kikosi kikawakikawa fresh akaingia final UEFA na Madrid akapoteza ,
Next season akingia tena final na Tottenham na kuchukua ndoo,
Halafu akachukua na super cup .
Na msimu unaofatia akavunja rekodi ya miaka 30 na kutupa EPL ,mbele ya vigogo man city na wenzao...
Kwahiyo utilize domo lako kama kona ya bus.halafu nipe historian ya Hans nyumbu wewe