Yaani kama unamwona vileeeHa ha ha aaaaaa dah
Morinho huko anatamani kufa dah



Sasa kilichobaki ni ku maintain our position up there .....FT
Palace 0 - 7 Liverpool
Lipo, sasa itakuaje?Kuna mwenye swali?
Hii hapaHii ni kweli? Source?
Yupo na Foxes na Vardy ana jambo pale..Ha ha ha aaaaaa dah
Morinho huko anatamani kufa dah
Bado mapema sana kuamini mutatoka na points 3 leo.
Kwa ninavyo wajua palace, sio wa kuwatishia ngumi na panga liko kiunoni.....
Haha kocha wao ni shabiki wa Liverpool hivyo hatanuna sana kivile..Imebidi kocha wao acheke tu, huo mgoli wa salah