Bwana wee Klopp hua hatabiriki siku utamkuta Milner kipa kaka 😜😜😜..Hahaha.... nimeona hapo kwenye bold chief!
Tunaongoza lakini tunacheza vibaya. Mipira inapotea kizembe kabisa. Keita ndio anaharibu zaidi.
Mane alitafuta muda sanaManeeeeeee
Liverpool tuna timu Mzee mwenzanguBado mapema sana kuamini mutatoka na points 3 leo.
Kwa ninavyo wajua palace, sio wa kuwatishia ngumi na panga liko kiunoni.....