Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
liverpool mpeni anachostahili gini wijnaldum na ikiwa khofu yenu ni umri ndio maana munasita kumpa kandarasi ya muda mrefu basi munapaswa mufahamu ya kwamba wanadamu wanatofautiana linapokuja suala la fitness level,

huyu jamaa kama ataendelea kuwa na pumzi hii alioionyesha jana uwanjani naamini anaweza kucheza soka la kiushindani mpaka atakapofikisha miaka 33 na bado akaendelea kuwa mchezaji mwenye umuhimu kama alivyo james milner.

huyu jamaa anaongoza kwa kutumiwa kinyume na utaratibu bila ya kulalamika, eneo analotumika liverpool ni tofauti na kule uholanzi na bado anakupa performance iliobora kwa asilimia 100.

gini ni shetani mwenye umbile la binadamu anayepatikana kila eneo la uwanja.
gini ni shetani aliyekoseshwa sifa na wafuasi wake
 
Amepiga tackles ngapi jana ? Ametoa assist ngapi na kafunga goli ngapi ? Ameintercept successful interceptions ngapi ?
Wijnaldum ni Intelligent Footballer.

Kuanzia Physically Dominant,
Anavyo Holding off position players,
Linked up anayoifanya the left hand side kwa Robertson and Mane sio haieleweki.

Wijnaldum hafananishwi na wachezaji ambao ni Third choice kwenye Squad.
 
Mzeebaba Captain Marvelous ulisema kweli aseeh yametimia .

Nachelea kusema mjerumani wetu huyu ni master plan
Jose jana katulizwa tuliiii hana bwebwe tena...

Game plan ilifanikiwa we win the ball as soon they regain possession hilo ndio silaha kuu haya mengine ni by the way..

Nampa shout out kwa kusuka defence yake vyema no wonder wana concede very few goals nowadays.... Ana kipa mwenye very high instincts...

Sasa pale Crystal ndio nitazame kama kikosi cha mzee Roy kipo vipi.. Pazuri Benteke hayupo kapata kadi...

YNWA
 
Nikimuangalia Jones na Keita
Au hata Henderson na Keita..

Nahisi tatizo la Keita ndo lile la waafrika
Umri wa passport sio umri halisi..
We unaonaje??
Bwana wee Keita ana ka upara fulani haha ka mwenye miaka 28+🙈🙈🙈🙈

Kwa waafrika bhana sitoshangaa kama kweli sio umri wake ule...

Akasake tonge kwingine pale Anfield pamemkataa...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom