Mourinho kiukweli amekwishaAnfield tutafungwa na timu za mid na lower table, siyo Big 6!
Namalizia tikiti hapaHope Utakula mwana.
Tena Utakula sana
Concentration leo ilikuwa kubwaMchezaji gani alizingua leo? Sijaona hata mmoja![]()
Concentration leo ilikuwa kubwaMchezaji gani alizingua leo? Sijaona hata mmoja![]()
Mourinho kiukweli amekwisha
Leo ndo nimethibitisha..
Kaja na mbinu zile zile za miaka yote
Kuvizia vizia..rafu.nyingi..
Kama second leg tukiwa na Jota,Thiago..
Halafu fabinho akae kati?Tuwe hata na matip nyuma na huyo dogo? Tunaweza mpiga hata
4-0
Bobby bwana anasimama mbele kama kawaida yake false 9, ila anashuka deep kufata mipira kwa kina Wijnaldum na Henderson then Salah au Mane mmoja ana-act as a striker.Bobby Leo kacheza namba ngapi? Maana kalisukuma gozi mpaka nikashindwa kujua alicheza namba ngapi
Concentration leo ilikuwa kubwa
Halafu kipindi cha pili tuli dominate bila kukimbiza sana..
Zile breakaway na counter zao zilidhibitiwa sana..
Nilitoa macho kama mjusi kabanwa na mlango it was open chance for SpursKuna chances mbili, moja mwamba na ile open header ya Kane, tungepoteana pale.
Hongereni kwa ushindi mzuri tena ulioendeleza historia ya kutofungwa Anfield, kwa mpira mliocheza leo hii mkishinda mechi 5 mfululizo hakika ubingwa ni wa Liverpool FC bila kinyongo.Kuna chances mbili, moja mwamba na ile open header ya Kane, tungepoteana pale.
Kuna chances mbili, moja mwamba na ile open header ya Kane, tungepoteana pale.
Ha ha haaa. You don't know me man. Mimi siyo shabiki maandazi.Huyo jamaa namuhesabia misimu mitatu tu (kama uhai wenyewe tunao) lazima aje na Id nyingine na kuishabikia Manchester United.
Hongereni kwa ushindi mzuri tena ulioendeleza historia ya kutofungwa Anfield, kwa mpira mliocheza leo hii mkishinda mechi 5 mfululizo hakika ubingwa ni wa Liverpool FC bila kinyongo.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Yap zile mbili ilikuwa hatari sana..
Mourinho angetutukana sana..
Yaani nikiangalia fans wa timu karibu zote wanavyolia lia...halafu leo Sisi tunaenda kulala usingizi mtamu hivi ..kweli Jambo la kushukuru sana..
Game ngapi ngapi
Mkuu Morinho hajakwisha ..kazidiwa mbinu...Mourinho kiukweli amekwisha
Leo ndo nimethibitisha..
Kaja na mbinu zile zile za miaka yote
Kuvizia vizia..rafu.nyingi..
Kama second leg tukiwa na Jota,Thiago..
Halafu fabinho akae kati?Tuwe hata na matip nyuma na huyo dogo? Tunaweza mpiga hata
4-0